Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hazard ni mchezaji mzuri hasa kwa sababu ya dribling capacity yake na ana uwezo mkubwa wa kutengeneza nafasi LAKINI Hazard akitoka Chelsea timu itapona kama Coutinho alipotoka Liverpool ikapona. Take my word
Kuondoka kwa Hazard kutaifanya kwanza timu ifanye usajili wa maana, pili itajenga kujituma zaidi kwa wachezaji waliopo
 
Jamani mipasi ya Jojinyo hamuitaki tena?

Zile stats tunaziomba, mbona mmeacha kuzileta?
 

Joginho tena 😀😀😀
Siku zinaenda kasi kweli manake tulikuwa tukipewa mistats ya huyu jamaa mpaka shida! Dah EPL si lelemama.
 

Tunaomba wadada wawili kwaajili ya kunawisha mikono waombolezaji wale.

Endeleeni kuvumilia maana ndugu wa marehemu wanalalamika tu chanzo cha kifo cha marehemu,hawajasema bado wanazikia wapi.​
 
Tujifariji kwa hii fact
Kama tu timu bora Ulaya na Duniani, ManCity wanafungwa na Crystal Palace, Basi kila timu iko vulnerable kufungwa, hata Liverpool. It is a matter of time and surprise
 
‘We hit the woodwork twice, their goalkeeper made some great saves, we were unlucky, but I keep the positives in our heads and now we move forward and try to win game after game.’

👊 @hazardeden10
 
Maisha yapo kasi sana yaani jojino mipasi leo mnamkataa
 
Safi sana Rudiger nakuunga mkono
 
‘We hit the woodwork twice, their goalkeeper made some great saves, we were unlucky, but I keep the positives in our heads and now we move forward and try to win game after game.’

👊 @hazardeden10
Sipati picha kama ingekua ni Morata ndio kagongesha ile mibesela miwili, jinsi tungemlaumu humu. Ila kwa vile ni hazard poa
 
Pengo la COUTINHO KLOPP aliweza kuliziba baada ya siku 2 tu.
 
Hapo kwa Joginho una maana gani?

Si ndo huwa mnasema anavunja records za kupiga pasi?
Pasi bila kutengeneza penetration pass na kutengeneza nafasi za kufunga ni bure. Hizo pasi ndizo Sarri anaziita HORIZONTAL PLAY. Zinapigwa kulia, kushoto, nyuma halafu muda unaisha bila hata kufunga goli huku tukimiliki mpira 73% ya possession hiyo ina faida gani kwa mashabiki.
 

Okay, mimi nimeuliza hivyo kwa sababu kila nikiingia humu ni either Joginho au Hazard, ndo naona wanasifiwa.

Na Joginho tumekuwa tukiambiwa he is the engine behind Sarriball. So sikutegemea kuona kuna mtu anasema injini iuzwe, maana ukiuza engine tayari ni sawa na umeuza gari.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…