Joginho alikua haijui michaka michaka ya EPL akajua pass 180 per mech ni dili akawa anazunguka kila kona ya uwanja haha SPURS mungu anawaona hivi mlimfanya nn JOGINHO tangu ile gemu kawa floper kuliko LALLANAJoginho si ndo huyu aliyekuwa anapambwa mwanzon? Mi naona Chelsea wamuombe angalau Klopp awape Lallana ili kuwasaidia kuboost team[emoji23][emoji23][emoji23]
pasi hukabi s n uj... kabisa
Na yule mzee ana mahaba nayeJOGNHO NI TATIZO KUBWA MAMAME
Leo Alonso kachezi vizuri ile ilikuwa bahati mbaya tu ikagonga mwamba, huo mpira aliucheza vizuriAlonso amepata golden chance in injury time analose.........dah nilishahesabu suluhu nimefumba macho nafumbua nakuta ngoma inagonga nguzo.....dah siku ya kufa nyani
Watu wanatimiza majukumu wewe unalalama favour. Mtu katingwa wewe unalia favour hv lini mtaacha huu ujinga kama hujui mpira bora ukae kimya.Kwani mwaka 2014 uliyonizuia Mimi ukiwa hugombanii Nafasi yoyote ukampa ubingwa Man City hukumfanyia Favour Man City?
mwambie kocha wako apange striker pale mbele asitegemee magoli kutoka kwa willian na hazard atakuja kustuka yupo katikati ya kundi la timu kupanda mbali kushuka mbaliJamani wana Chelsea, Man U baada ya Mou kuondoka wanapiga honi huko nyuma wanakuja kwa speed kubwa sana kwa kumlamba mtu 5/1, Arsenal nao wako wanaomba kuovertake, Hivi kweli tutabakia kundini kweli?
😀😀😀😀😀mkuu umekurupuka usingizini nini?watu washaanua tanga maana wenyeji wamekimbia msiba kwahiyo hakuna 3 kila mtu akalale kwake cha msingi beba majamvi na wewe uhesabike umeshiriki katika mazishiPia hao, vadi piga haoooooo
[emoji16]Sarri Mabangi