Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Joginho na moto wake Wa Mabua umeisha ndani ya game 5 za mwanzo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Alonso amepata golden chance in injury time analose.........dah nilishahesabu suluhu nimefumba macho nafumbua nakuta ngoma inagonga nguzo.....dah siku ya kufa nyani
 
Mchawi wa Chelsea kufikia hadi hapa leo hii tulipo ni CONTE.

Utamuuzaje COSTA nakati ubingwa wa EPL tuliochukua 2013-2014 alikuwa na magoli 24, pia 2016-2017 ni huyo huyo tena COSTA alikuwa na magoli 22?

Chelsea kuingia top 4 ni ndoto kabisa za abunuwasi Machifu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…