Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

EPL ni ngumu Sana, na mbaya zaidi kila mwaka inazidi kuwa ngumu , unatakiwa kuwa na kikosi kipana Sana kuweza kumaintain EPL, FA na champions league , next match Una Wolverhampton, hawa mbweha ni mabingwa wa kung'ang'ania timu kubwa

Hawa wanaweza kusumbua ila watakufa, shida iko games za tar 29 vs Arsenal na 3 Jan vs Man City. Hapo ndo Man City anao uwezo wa kurudi juu.

Yeye ana away game vs Leicester, sina uhakika kama Leicester wataweza kuhold.
 
Leicester hawana uwezo wa kuwazuia Man city labda muujiza utokee , all in all ni timu chache sana zenye uwezo wa kumzuia man city, cha muhimu ni kujihakikishia unakusanya point 3 kwenye game zako

At least kwa hii round ya kwanza tumempa changamoto, ngoja tusubiri kuona round ya pili inakuja na nini.

Nimesikia tetesi za Man City kuongeza beki dirisha dogo, kucover majeruhi.
 
Naona umepewa Bayern Munich kwenye round of 16, Bayern huyu mnyonge unamuweza kabisaa

UEFA ni ngumu sana, hasa ukikutana na wakongwe, muhimu ni kutopanick.

Jamaa hawajawa na msimu mzuri kipindi hiki, ila mpaka Feb ni mbali, chochote kinaweza badilika. Ila tuna imani.
 
UEFA ni ngumu sana, hasa ukikutana na wakongwe, muhimu ni kutopanick.

Jamaa hawajawa na msimu mzuri kipindi hiki, ila mpaka Feb ni mbali, chochote kinaweza badilika. Ila tuna imani.
Cha muhimu unatakiwa kushinda kwa goal difference kubwa ukiwa Anfield ili usije ukafia uwanjani ukiwa Munich
 
Cha muhimu unatakiwa kushinda kwa goal difference kubwa ukiwa Anfield ili usije ukafia uwanjani ukiwa Munich

Hiko ndo cha muhimu, shida ya UEFA game zinakuwa so defensive, kiasi kupata goli difference ya 2 ni bonge la mtihani.

So far, we hope kwamba tutapita, at least on paper.
 
Hiko ndo cha muhimu, shida ya UEFA game zinakuwa so defensive, kiasi kupata goli difference ya 2 ni bonge la mtihani.

So far, we hope kwamba tutapita, at least on paper.
Hata hizo 2 zitakutosha kabisa, wakijaribu kufunguka Arena nyinyi mtajiongezea goli za ugenini tu, pia kumbuka msimu huu hamjafanya vizuri kwenye aways game za champions league kwa hiyo ni lazima mmalize mchezo nyumbani
 
Kweli, away games zimekuwa ngumu sana, kazi inabidi ifanyike game 1.

Advantage ndogo tuliyonayo ni vile Klopp anaifahamu Bayern kwa kiasi kikubwa, atasaidia kutuliza tempo tutakapokuwa away.
 
It is Malmo, round of 32
IMG_20181217_152655.jpeg
 
Maneno ya Zola haya, Mou amekunja mkwanja wake, anasubiria next team.

‘It’s never pleasant to see a coach being dismissed from a job, not pleasant for anyone, especially someone like Jose who has won so much in the game and so much for this club [Chelsea],'

‘I’m sad like many others and I want to wish him all the best in a new adventure. I’m sure he will soon have another adventure somewhere else"
 
Zola on Mourinho: "It's never pleasant to see a coach being dismissed from a job, especially someone like Jose who has won so much in the game & so much for this club... I want to wish him all the best. I'm sure he will soon have another adventure somewhere else" #cfc #mufc
 
Zola on UEFA investigation: "It's very difficult to say anything about [potential punishments]. We will see what happens & then we'll comment" #cfc
 
Zola: "Racism doesn't belong to football, doesn't belong to anything. I'm saddened & disappointed but I know these supporters very well. They gave me so much & the team so much. I'm sure they'll react in a strong way & a very respectful way" #cfc
 
Zola says Bournemouth are "dangerous" opponents but adds: "We know our potential, we know we're getting better" #cfc
 
Zola dismisses the idea that Sarri has to win a trophy this season: "We certainly want to achieve something but the aim is to become one of the best teams in the country & in Europe" #cfc
 
‘We will not rest until we have eliminated discrimination from our club.'

Chelsea Chairman Bruce Buck has today written an open letter to Chelsea supporters all over the world…
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom