Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,186
Huyo anajuaga kuwakazia top 4 siyo kitoto. Cha msingi mkaze sana. Japo naombea draw
Mou anajua sana kucheza na top four. Msipokua makini mnaweza kupoteza pamoja na kwamba kikosi chake kinaonekana hakina uwezo kama cha Klopp.Bora hata tutoke naye droo aisee, kutupigia home itakuwa aibu kubwa, hasa ukiangalia kikosi chake kilivyo.
Mou anajua sana kucheza na top four. Msipokua makini mnaweza kupoteza pamoja na kwamba kikosi chake kinaonekana hakina uwezo kama cha Klopp.
Just ignore the kidFu**ck yo hujui ku appreciate mazuri ys wenzako utakua mzaramo tu sio kitu
Sasa hapo anyeenda kukutana naye City mechi ijayo anaweza kuomba poo. Anaweza kumfanya kitu kibayaSure, ila jana mmefanya kitu kizuri, angalau mmerudisha competitiveness kwenye ligi, maana tulishakata tamaa juu ya Man City.
Arsenal, Chelsea na Tottenham ziko karibu pia tofauti na msimu uliopita, maana mpaka hapa alikuwa juu sana.
Nimepeleleza Kila Kocha huwa inatokezea kuwa hana Nyota flani hivi kwa Kocha Mwengine!
Kwahiyo kama ilivyokuwa PEP hana nyota nzuri kwa Klopp.. Na Klopp hana Nyota Nzuri kwa Mourinho.
Sasa hapo anyeenda kukutana naye City mechi ijayo anaweza kuomba poo. Anaweza kumfanya kitu kibaya
Kwa hiyo unataka kusemaje juu hii mechi!!
kwani wewe ulimjibu kwa fact???Kuna Mtu alinifundisha Namna ya Kuwajua Watu Kama nyinyi munao Kimbilia Kuwaita Wengine Wapumbavu, Wajinga au Hawana Akili, Hawajui Mpira badala ya Kujibu kwa Facts.
Ndugu yangu hongera unawaongoza farasi sita ila kuna ajali anakuja kukusababishia jose hapo hapo anfield,kisha tutayaongea ya ubingwa, kama unavyojua Liverpool kumfunga Man Utd ni ndoto ya mchana.Ndugu zangu kwa sasa mmekwiva LKN bingwa ni Liverpool
Mtarudi CL na hilo ndiyo la maana zaidi
Tunashukuru kwa kazi kubwa ya kumtandika self claimed god of football
Kante, Azpilicueta & Alonso have all signed new contracts at the club, and now Rudiger is set to be offered a new long term contract after an impressive start to the season.
Let's hope that Eden Hazard will be next...
Azpi na Alonso wanakunja ngapi according to new contracts ?