[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahahaha kapitwa na martial mkaa benchiHalf Season? Usimuoverrate kwa sifa asiyokuwanayo ya ½season Wonder!
Mkuu bado haijafika Half season Ndiyo Kwanza Mchezo wa 15 na tayarai Baskeli ya Mabua imeishia Kimara mwisho ilipojaribu Kutaka Kuelekea Nzega ikitokea Ubungo.
Katafute Kumbukumbu utaona Stats kuwa Hazard ni Five Games Wonder "
Uefa ana goli 9 tuHazard ni mchezaji mzuri,sawa, lakini tujiulize, anaweza kuwafungia mabao mangapi kwenye season moja? Mpaka sasa ameichezea chelsea game 317 na kufunga jumla ya magoli 97. Hii ni sawa na wastani wa magoli 0.39!
Mnaweza kumwachia akaenda zake huko madrid na mkapata winger mwingine mwenye ubora kama wake na bei ikawa ndogo. Alichonacho Hazard ni ile spark yaani amshaamsha ambayo anayo pia Willian na kidogo pedro,kumbuka those r wingers.
Kingine. Hazard anajua siri ya kupata balon di'or. Umri unaenda na anaamini ili upate ballon d'or lazima ukacheze soka spain hasa zile club mbili kubwa. Yaani Real Madrid na Barcelona....
Mkuu kwa zaha umemshushia heshima.Harzad ni half season wonder, Walitaka eti waanza kumcompare na Salah ambaye yeye kila mechi lazima afunge au atoe assist.
Jaman Hazard bado sana labda tumlinganishe na Wakina Zaha.
Bado juma mosi kabuli lipo tayar tushachimba na vipimo vya sanda tayar
Marehemu alikuwa na mdomo sana.
dah huyu jamaa mbona munamdowngrade kiasi hiki ina maana iwobi ana afadhali!!!!!Mkuu kwa zaha umemshushia heshima.
Wanamuonea hazard ila na yy kwa nini hafikishi goli walau 15 kwa msimu kama lilivyo jina lake?dah huyu jamaa mbona munamdowngrade kiasi hiki ina maana iwobi ana afadhali!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahahaha kapitwa na martial mkaa benchi
Come one Hazard [emoji123][emoji123] 35+ this season ,#SarriBall
Harzad ni half season wonder, Walitaka eti waanza kumcompare na Salah ambaye yeye kila mechi lazima afunge au atoe assist.
Jaman Hazard bado sana labda tumlinganishe na Wakina Zaha.
Kufunga akuleti makombe muulize mfungaji bora mara mbili Kane kabeba nini,salah Kafunga kisha kaisaidia team yake nini? Wachezaji bora wanasaidia team zao kubeba makombe zingine porojo hazard alipo hawezi kukaa 3yrs trophieless haiwezekani same to Messi, Neymah, kylan, cr7 hawa lazima wanyanyue kombeHazard ni mchezaji mzuri,sawa, lakini tujiulize, anaweza kuwafungia mabao mangapi kwenye season moja? Mpaka sasa ameichezea chelsea game 317 na kufunga jumla ya magoli 97. Hii ni sawa na wastani wa magoli 0.39!
Mnaweza kumwachia akaenda zake huko madrid na mkapata winger mwingine mwenye ubora kama wake na bei ikawa ndogo. Alichonacho Hazard ni ile spark yaani amshaamsha ambayo anayo pia Willian na kidogo pedro,kumbuka those r wingers.
Kingine. Hazard anajua siri ya kupata balon di'or. Umri unaenda na anaamini ili upate ballon d'or lazima ukacheze soka spain hasa zile club mbili kubwa. Yaani Real Madrid na Barcelona....
Half Season? Usimuoverrate kwa sifa asiyokuwanayo ya ½season Wonder!
Mkuu bado haijafika Half season Ndiyo Kwanza Mchezo wa 15 na tayarai Baskeli ya Mabua imeishia Kimara mwisho ilipojaribu Kutaka Kuelekea Nzega ikitokea Ubungo.
Katafute Kumbukumbu utaona Stats kuwa Hazard ni Five Games Wonder "
K
Kufunga akuleti makombe muulize mfungaji bora mara mbili Kane kabeba nini,salah Kafunga kisha kaisaidia team yake nini? Wachezaji bora wanasaidia team zao kubeba makombe zingine porojo hazard alipo hawezi kukaa 3yrs trophieless haiwezekani same to Messi, Neymah, kylan, cr7 hawa lazima wanyanyue kombe
suala la nafasi sio ishu kubwa sana suala la maana zaidi tuangalie end of the season nani katoka na nini....isije ukaja kuleta stori tu hapa wakati ni trophiless........mara ngapi unakuwa katika hiyo nafasi then end of the day unainamisha kichwa chini wanaume wananyanyua kwapa........
Na wale wadau wa timu nyingine , endeleeni kujaza forum yetu ... Inaweza kuuwasidia kupata hata Micky mouse cup at the end of the season
Mkuu hii ni kawaida watu kujaa kwenye forum ya timu ambayo imepata matokeo mabaya karibuni.
Liverpool alipofungwa na PSG, washabiki kibao wa timu zingine walijaa kwa Liverpool, Man Utd amepata wageni wengi msimu huu kwa sababu ya matokeo mabovu, na sasa hivi bundi anapigia makelele hapa, kwa hiyo wavumilie tu. Njia pekee ya kuwafukuza ni kushinda na kushinda tu.
Ndio maana nimewakiribisha waendelee kujaza forum ,
Okay, inaonesha umekata tamaa ya kuwafukuza kwa njia ya kushinda siyo?
Hii ni lugha ya wakubwa hutaelewa!Mkuu unatamani watu waliostaafu tayari?
Hali ngumu kweli.