Half time, game bado iko open kwa timu zote.
Wow! Luiz kasawazisha, game on!
ila kuna timu moja inahitaji kusawazisha kabla ya kusaka ushindi na moja inahitaji kunogesha ushindi......Hizi ni kazi mbili tofauti ila nakubaliana nawe kuwa bado game ipo wazi.....Hahahahaaaaa.....Pole sana kaka...............
Naona mmefufuka Wakuu, hongereni sana. Sasa mfunge jingine ili mpeleke msiba kule MANU.
Naona mmefufuka Wakuu, hongereni sana. Sasa mfunge jingine ili mpeleke msiba kule MANU.
Huyu Luiz ni noma
Ulikuwa wapi rev?????