Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Unbeaten still survive
Ushind mwembamba wa goli moja kutoka kwa Giroud na point tatu muhmu
#THIS_IS_BLUE'Z
 
Kipofu kaona jua leo
Giroud anatupatia ushindi na tunafuzu 32 bora tunawasubiri wanaotimuliwa huko uefa champions
2853.jpg
 
Pamoja na ushindi wa bao 1 na possession ya 74% BATE walikuwa wazuri kwenye attacking, shot 3 zimegonga mwamba na wamecreate big chances 2. Nafikiri pia hali ya hewa ilichangia Chelsea kutokuwa kwenye form hasa kipindi cha kwanza kukosa mawasiliano. Kwenye TV unamuona mchezaji kwa shida kwa sababu ya ukungu
 
Mzee hapo tusisake mchawi mchawi ni kwamba hakuna mtu wa kucheza pas za kufunga wote wanaoba raha city ingepiga nying kam vip mtu ata apig chenga inbox aforce penalty dàh watu wanadharau et bate
 
Pamoja na ushindi wa bao 1 na possession ya 74% BATE walikuwa wazuri kwenye attacking, shot 3 zimegonga mwamba na wamecreate big chances 2. Nafikiri pia hali ya hewa ilichangia Chelsea kutokuwa kwenye form hasa kipindi cha kwanza kukosa mawasiliano. Kwenye TV unamuona mchezaji kwa shida kwa sababu ya ukungu
Za kuhesabu ni zile zilizogonga mwamba
Ila ndio mpira pamoja na yote hayo tumeshinda
Bado Cahill na christiensen hawafanyi ipasavyo pale beki ya kati
Palmieri huyu anaifanya kazi yake vizuri mno
Zapacosta anajitahidi pia
Kwa jana Loftus hakuwa vizuri kabisa
Hata baklay pia game ilimkataa
Hazard walimkamia mno
Pedro kidogo
Giroud alijitahidi kujiweka maeneo sahihi kama mshambuliaji
Hii team possession na passes ndio ziliwatesa bate borisov kwa jana

Man of the match kwangu kwa jana ni kati ya hawa wawili
Palmieri na Jorginho
 
Christensen sio mzuri kwenye maamuzi, anatoa pasi za hovyo kwenye eneo la hatari. Cahill ni mzito. Kwa upande wa Zapacosta anatoa krosi nyingi lakini hapimi, zinakuja hovyo na klwa hivyo anawapa kazi wafungaji. Palmieri ndio anaweza kuwa mbadala mzuri wa Alonso kwenye krosi zilizoenda shule. BATE walidefend wachezaji 11 golini kwa vyovyote Barkcley anayependa kupenetrate asingeweza kufanya lolote. Naye ajifunze kuwa na alternative playing methods and attacking methods, Lofta, Hazard nao walishindwa kufanya jambo kwenye ukuta ule mkubwa kama wa Mirerani.
 
Utaridhika sasa hizo ndio stats za janaView attachment 927215
Ni kweli mpira wa Chelsea ulikuwa wa hovyo, possession haiamui kama timu imecheza vizuri, inayoamua ni chance created and converted into goals. Saudi Arabia waliposses 62% against 38% ya Russia kwenye kombe la dunia 2018 lakini walibugizwa 5-0. Mimi nawaona BATE ndio walicheza vizuri jana kwa sababu walikuwa wazuri kwenye kuatack na kutengeneza chances. Angalia hata blocks walizofanya Chelsea ziko 7 wakati BATE ni 1 tu, wao walikuwa wakishoot sana golini, defender wasingeweza kublock na zile zilizgonga mwamba tungefungwa jamani. Nashukuru Sari aliliona hilo na amelisemea. Nafikiri atafanya kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom