Jblmunis333
Member
- Nov 6, 2018
- 65
- 40
Yaah! Kwel kama jamaa anavyosema barca wana interest na wachezaj wetu(blue'z) wawil ambao ni willian & Luiz ila pia wao pia wamemweka meza Malcon kwa ajil hyo ili xana xanaaa wampate williamV
Kitu gani zaidi ya hizo goli nne katika mechi nne nafikiri
Nenda ka google. Hatuji hapa bila uhakika. Verde anamtaka mlinzi mzoefu kama Luiz Pia wanamtaka Willian na wameshaanza mazungumzo. Ila nawasiwasi kama Chelsea watamtoa Luiz