Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC in the PL #CFC :

🥈 2nd Place in PL
⚽ 27 Goals (2nd Highest)
⛔ 5 Clean Sheets (3rd Highest)
🥅 202 Shots (2nd Highest)
💯 7114 Passes (Highest)
👍🏻 9997 Touches (Highest)
👇🏼 527 Long Balls (2nd Lowest)
🥇 Joint Top Scorer (Hazard)
💪🏼 Unbeaten (All Competitions)
 
Morata bado haaminiki japo amefunga 2 ni kama mtu anayebahatisha Kufunga magoli
Kuna comment yako bado naikumbuka ulisema morata ili avunge goli mbili anapaswa atengenezewe nafasi 6 najiuliza jana ilikuwaje?

huwa sipendi kuangalia mechi za timu pinzani ila jana nilipata kuangalia mechi ya Chelsea kipindi cha kwanza kuna jambo la ajabu nimeliona.
uwezo wa ross Barkley umekuwa wa kiwango cha phd kwa fikra zangu dhaifu.
Mara yangu ya mwisho kumuona ni nyakati za utawala wa Conte.
ross ameachana na soka la kiingereza.
pia majirani hongereni sana kwa usajili wa jorginho mumefanya la maana sana kuwapokonya tonge mdomoni waarabu wa Etihad.
 
Wangemchukua huyu Jorginho wangekua hatari sana na Guadiola alivyo na misifa
 
Hii miwani anai balance aje hapo kichwani????

1541413881581.png
 
Wangemchukua huyu Jorginho wangekua hatari sana na Guadiola alivyo na misifa
ahsante kwa kuliona hilo.
yule jorginho kwa pasi zile angecheza pamoja na de bruyne,silva halafu mbele yupo shetani aguero.
tungelichezea bakora kuliko zile bakora anazopewa mzee wa konki konki na mange kimambi.
mpaka naondoka half time jorginho kapiga pasi mbili za bao lakini zote zikatupwa.
 
Kuna comment yako bado naikumbuka ulisema morata ili avunge goli mbili anapaswa atengenezewe nafasi 6 najiuliza jana ilikuwaje?

huwa sipendi kuangalia mechi za timu pinzani ila jana nilipata kuangalia mechi ya Chelsea kipindi cha kwanza kuna jambo la ajabu nimeliona.
uwezo wa ross Barkley umekuwa wa kiwango cha phd kwa fikra zangu dhaifu.
Mara yangu ya mwisho kumuona ni nyakati za utawala wa Conte.
ross ameachana na soka la kiingereza.
pia majirani hongereni sana kwa usajili wa jorginho mumefanya la maana sana kuwapokonya tonge mdomoni waarabu wa Etihad.
Asante mkuu
Hata jana ndio alifunga mbili lakini alikosa goli moja la wazi na akapoteza nafasi tatu za wazi kama angekuwa ni mshambuliaji mwingine hatari angefunga sana na tungekuwa kama city tu
 
According to Mundo Deportivo, Ernesto Valverde is looking for an experienced CB and he has shortlisted David Luiz as a potential target and could make an offer for Luiz in January
 
antonio rudiger,
Huyu ndie unsung hero wetu so far msimu huu, ndie anayefunika mapungufu ya kupanda mbele hovyo kwa David Luiz na spidi ndogo ya Alonso kurudi kwenye nafasi yake. Na ndie anayefuata kwa kupiga pasi nyingi baada ya Jorgihno. A German machine
View attachment 921848
dah kuna watu huku afrika wanajua kuangalia mpira kwa umakini sana.
heshima kwako muheshimiwa kalou kwa kuona udhaifu wenu.
upande wenu wa kushoto chelsea mupo vizuri sana kwa kushambulia lakini ndio upande ambao mupo ovyo sana kwenye kujilinda, udhaifu mkubwa niliouona hamujui kujipanga mipira ya krosi zile zinazopigwa chini na wapinzani.
inawezekana pia kitendo cha ngolo konte kuwa juu sana msimu huu kinachangia wachezaji wenu kuwa wachache sana eneo lenu la nyuma.
alonso na david luiz wanasogea sana na kuwapa mwanya sana maadui.
jaribu kurejea mechi dhidi ya arsenal na manchester united magoli muliofungwa na muliokoswa utagundua udhaifu uliouzungumza.
mkuu fanya mpango uwende ulaya ukapige hela.
 
Hata city ya Pep mwanzoni walifungwa sana lakini hivi sasa ni historia
Suala la ulinzi kuwa hovyo kwa chelsea ya Sarri ni mabeki wa kati kucheza sana juu wakati mwingine Mpaka karibu na msitari wa katikati
Rejea goli alilotufunga crystal palace jumapili
Lakini pia Alonso kwa sasa hawazii kabisa kukaba yeye akili yake na mfumo huu wa sarriball ni kushambulia tu ndio maana anatoa sana Assist na kufunga sana kama beki
Nafikiri tunahitaji mwaka mmoja mabeki kupunguza makosa yao kwenye hii sarriball

Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom