Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hata city ya Pep mwanzoni walifungwa sana lakini hivi sasa ni historia
Suala la ulinzi kuwa hovyo kwa chelsea ya Sarri ni mabeki wa kati kucheza sana juu wakati mwingine Mpaka karibu na msitari wa katikati
Rejea goli alilotufunga crystal palace jumapili
Lakini pia Alonso kwa sasa hawazii kabisa kukaba yeye akili yake na mfumo huu wa sarriball ni kushambulia tu ndio maana anatoa sana Assist na kufunga sana kama beki
Nafikiri tunahitaji mwaka mmoja mabeki kupunguza makosa yao kwenye hii sarriball

Asante
Hata lile goli la Palace, Luiz kapanda akachelewa kurudi. Kwa kweli Chelsea wanahitaji mabeki wa kusaidiana na Rudiger ili Luiz au Alonos wapande. Willian alishahojiwa na kumuelezea Luiz kuwa alikuwaga mshambuliaji hii ya beki naona haiwezi sana kama ya kushambulia na Alonso nae hivyo hivyo anapenda sana kuwa mbele
 
antonio rudiger,
Huyu ndie unsung hero wetu so far msimu huu, ndie anayefunika mapungufu ya kupanda mbele hovyo kwa David Luiz na spidi ndogo ya Alonso kurudi kwenye nafasi yake. Na ndie anayefuata kwa kupiga pasi nyingi baada ya Jorgihno. A German machine
View attachment 921848
Hakika huyu jamaa nampenda kupita maelezo#AntonioRudiger#
 
Hata city ya Pep mwanzoni walifungwa sana lakini hivi sasa ni historia
Suala la ulinzi kuwa hovyo kwa chelsea ya Sarri ni mabeki wa kati kucheza sana juu wakati mwingine Mpaka karibu na msitari wa katikati
Rejea goli alilotufunga crystal palace jumapili
Lakini pia Alonso kwa sasa hawazii kabisa kukaba yeye akili yake na mfumo huu wa sarriball ni kushambulia tu ndio maana anatoa sana Assist na kufunga sana kama beki
Nafikiri tunahitaji mwaka mmoja mabeki kupunguza makosa yao kwenye hii sarriball

Asante
Hapa ndiyo huwa nikimuona yule beki wa Liverpool VVD namwonea wivu Sana, kwann Chelsea haikufikia makubaliano ya kumnunua VVD. Any way bado tunasafari ndefu naamini kocha anayaona hayo makosa
 
"Last season, I was down, down, down, down. I cannot be more down. When you touch that limit, the only thing you can do is to come back. Everyone can have a bad period in life. But now, I'm happy. I want to score and win with this team" - Alvaro Morata
 
Leon Bailey: “Chelsea have been interested in me since I was maybe 14 or 15, but as a young player you want to start on a normal level and not just go there because of the name of the club"
 
Hata lile goli la Palace, Luiz kapanda akachelewa kurudi. Kwa kweli Chelsea wanahitaji mabeki wa kusaidiana na Rudiger ili Luiz au Alonos wapande. Willian alishahojiwa na kumuelezea Luiz kuwa alikuwaga mshambuliaji hii ya beki naona haiwezi sana kama ya kushambulia na Alonso nae hivyo hivyo anapenda sana kuwa mbele
Sio luiz tu hata rudiger ana makosa kwa sababu wanashindwa kuafikiana kwamba nikienda mimi wewe unabaki sasa wao wakienda wanaenda wote ndio maana palace walitufunga lile goli
Kwa alonso sitaki kumlaumu sana kwa sababu anapopanda kuna faida kubwa mno pale anapotoa Assist
 
Goli lilipitia upande wa Luiz na Alonso sasa Rudiger anaingia wapi hapo. Ni kweli Alonso ni mzuri akipanda kwani hata goli la tatu ilikuwa ni assist yake Pedro akafunga na nasikia pia kocha kamkataza asipande. Kwa Luiz ni afadhali Akauzwa maana Barca wanamtaka ili pesa tupate ya kumleta anayefit kwenye formation na falsafa ya Sariball
 
Wewe mbona unakuwa muongo hiv barca wamtake luiz akacheze namba ya nan mbona dawa ya luiz ni kutafutiwa bk mwngne ambye atamfanya aache masihala
 
Wewe LUDIGER ana kosa gani wakati ludiger ndie anaye clean makosa ya luiz na alonzo
 
Goli lilipitia upande wa Luiz na Alonso sasa Rudiger anaingia wapi hapo. Ni kweli Alonso ni mzuri akipanda kwani hata goli la tatu ilikuwa ni assist yake Pedro akafunga na nasikia pia kocha kamkataza asipande. Kwa Luiz ni afadhali Akauzwa maana Barca wanamtaka ili pesa tupate ya kumleta anayefit kwenye formation na falsafa ya Sariball
Luiz anafit sana kwenye sarriball ndio maana hutasikia sarri akilaumu sana mabeki maana anajua hata kama beki zina mapungufu strikers wakiwa wanatimiza wajibu wao wa kufunga hakuna pengo kwa mabeki
 
V
January tunahitaji striker kama morata hatakuwa ameonyesha kitu uwanjani
Kitu gani zaidi ya hizo goli nne katika mechi nne nafikiri
Wewe mbona unakuwa muongo hiv barca wamtake luiz akacheze namba ya nan mbona dawa ya luiz ni kutafutiwa bk mwngne ambye atamfanya aache masihala
Nenda ka google. Hatuji hapa bila uhakika. Verde anamtaka mlinzi mzoefu kama Luiz Pia wanamtaka Willian na wameshaanza mazungumzo. Ila nawasiwasi kama Chelsea watamtoa Luiz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom