Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

shoq
Nakubaliana na wewe ina maana man u ana show za kikubwa kuliko arsenal na liver ? Unajisahauliaha alivyowafanya
 
We hata timu yako huijui kwa sababu uko busy kufuatilia timu za watu [emoji3][emoji3][emoji3]


We umeshawahi kumuona lini Ruben Loftus-Cheek akicheza namba 9 ??
Mkuu makosa madogo madogo tu aya..
 
Ahsante sana kwa kufuatilia game yetu, sorry for disappointment
 
Barkley ni kama New Lampard ..anazidi Ku gain momentum kila dakika anayocheza.

Assist za leo kahusika kama zote...

Kwangu mimi ndo man of the match
 
Utani pembeni, Courtois anatia huruma sana huku kwenye hii derby.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…