Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Training
 

Attachments

  • Screenshot_20181025-064821.png
    Screenshot_20181025-064821.png
    134.3 KB · Views: 27
  • Screenshot_20181025-064802.png
    Screenshot_20181025-064802.png
    301.3 KB · Views: 29
  • Screenshot_20181025-064758.png
    Screenshot_20181025-064758.png
    133.8 KB · Views: 30
  • Screenshot_20181025-064754.png
    Screenshot_20181025-064754.png
    191.2 KB · Views: 27
  • Screenshot_20181025-064750.png
    Screenshot_20181025-064750.png
    139.4 KB · Views: 24
  • Screenshot_20181025-064746.png
    Screenshot_20181025-064746.png
    177.2 KB · Views: 27
  • Screenshot_20181025-064729.png
    Screenshot_20181025-064729.png
    171.5 KB · Views: 26
  • Screenshot_20181025-064741.png
    Screenshot_20181025-064741.png
    170 KB · Views: 27
  • Screenshot_20181025-064736.png
    Screenshot_20181025-064736.png
    156.9 KB · Views: 30
  • Screenshot_20181025-064732.png
    Screenshot_20181025-064732.png
    196.5 KB · Views: 25
Ndugu zangu mbona tunanuniana sana kwa sasa?
Niliwaambia viungo wenu wote watatu ni watu wa kuchezea mpira haita fanya kazi EPL mkanicheka
Jorgihno na Kovacic ni wazuri sana lkn hawawezi 38 games za EPL,mnahitaji mtu mmoja mwehu pale kama Milner
Huu utumbo gani jamani.?
 
Kuna tetesi za kuuzwa kwa Club na Abrahamovic, hii imekaaje wakuu...??
Hahahahahahahahahahahahahahahaha haitauzwa club tu mpaka mashabiki mtauzwa au mmejisahaulisha kuwa Abramovich alinunua Chelsea na mashabiki
 
Hahahahahahahahahahahahahahahaha haitauzwa club tu mpaka mashabiki mtauzwa au mmejisahaulisha kuwa Abramovich alinunua Chelsea na mashabiki
Mtifuano wa kisiasa umesababisha haya yote mkuu, Wanasema kwa sasa Abrahamovic anatumia status yake ya Uraia wa Israel kupumua huko UK, Mradi wa ujenzi wa uwanja uko mashakani, haya ndiyo madhara ya kuingiza siasa kwenye michezo.
 
Ughali wake nn sana kama mechi mfululizo 2 goli 3
Sometimes ubishani mwingine ni wa kupimana akili na kupoteza muda tu. Ngoja na mimi nipoteze na wewe.

Amecheza mechi tisa ana cleansheet 4. Tunashika nafasi ya tatu.

Ughali wake ni kwa sababu ni mdogo na ana umri wa miaka 24 so bado anaqeza kuwa bora zaidi hapo baadae.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom