OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Wana ile kauli "Klopp bado anajenga timu"Point dhaifu kabisa. Kepa Arrizzabalaga, Antonio Rudiger, Alonso, Jogihno, Kovacic, Kante, Barkley, Morata, Giroud; zaidi ya wachezaji saba na wote ni wa kikosi cha kwanza. Na hawajafikisha hata misimu mitatu.
Msimu huu mmemsajili Allison na Keita kama wachezaji ambao ni ingizo katika kikosi cha kwanza. Chelsea wakati huohuo imewasajiri Kepa, Jogihnho na Kovacic. Sasa sijui unazungumzia chemistry ipi?
Useme tu Liverpool inasajiri wachezaji wa kawaida na hivyo inawachukua muda ku-click. Mwangalie VVD ameingia mara moja ktk kikosi cha kwanza.
Tutolee tunguri zako apa..kesho southampton anawakamatia chini chelsea hakuna cha sarri ball wala sarra ball! ...mtakimbia kimbia tu uwanjani ovyo na hazard wenu
Mkuu ukiangalia Chelsea kwa misimu mitatu/minne ivi imekuwa na wachezaji tofauti tofauti waliokaa mda mfupi na kuzoeana mapema.Unapoutazama Mpira Kwa Upofu Siku zote Utaendelea Kuwa Kipofu...
Kinacholeta Mashaka Ni Mpale Mshabiki Wa Chelsea anaposema "Chelsea ina Miezi Miwili tu Kwa Sarri lakini inafanya Vizuri"!!!!
Hivi Kwa Pale Uengereza Ukitoa Chelsea na Spurs Ni Timu gani Nyengine Wachezaji Wake Waliokaa Kwa Muda Mrefu na Kutengeneza Chemistry ya Muda mrefu?
Kinachowaangusha Spurs Ni Kuwa Uwekezaji wao Ni Mdogo Wanawekeza Kwa Wachezaji Wa kawaida (Average)..
Lakini Chelsea Kwa Muda Mrefu Wamewekeza Kwa Wachezaji Waliokuwa Talented hapo Mwanzoni ambao Wapo Kwenye Timu Kwa Muda Mrefu 3+ years.
Sasa Sarri ana miezi Miwili lakini Wachezaji hawana Miezi Miwili na Ndiyomana unakutia Hata Yule Kocha Wa Ndondo Conte alibebwa na Timu akachukua Kombe.
Tofauti na Timu Zetu Man United, Arsenal na Liverpool ambazo Kila Window unakutia Sura Mpya Makocha Wakihangaikia Kutengeneza Chemistry jambo ambalo Linahitaji project ya Muda mrefu.
Hahaha kauli la kibabe sana...
unajua vigezo vinavyotumika kuamua ligi bora duniani?Kwa miaka 10 mfululizo ......
Wachezaji bora wa dunia wametoka ligi gan?
Uefa team za ligi ipi zimechukua?
Europa zimechukua team za ligi IPI?
Club bingwa dunia zimechukua team za league IPI?
Sorry kiswahili changu c kizur but mtu akipata majibu ya hayo maswali atajua ligi gan ni bora
Jorginho ni fundi wa mpiraDressing room banter. Eden Hazard in @thetimes: “In the dressing room we say that Sarri is the father of Jorginho because they always talk & laugh together. I understand why because Jorginho is a fantastic player. He makes life simple for us: the right ball at the right moment.”
Inaonekana Liverpool wachezaji wake ni wa kawaida sanaWana ile kauli "Klopp bado anajenga timu"
Sijui imekuwa mnara wa Babel ...maana msimu wa nne huu inajengwa lakini sasa atujui itakamilika lini..!
Sijui itaanza lini kutumika kama timu ..
Kukagua ni vizuri lakini ya kwenu ni kipigo mkibahatisha sana sare leoLeo Hapa Nitajaribu Kukaguakagua kinachoendelea kuanzia Mida za Saa 10:15 jioni ili nijue nini kinaendelea.
Kila La Kheri Soton
Kushinda na Kutokushinda hilo sio la kwangu.
Baada ya dakika 90 ndiyo kitaamulika.
Striker huyu hapa Krzysztof Piatek raia wa PolandStayle yake ya uchezaji inamfanya kila mchezaji kuufurahia mpira
Tutafute striker tu maana ndio tatizo letu
Zilipendwakesho southampton anawakamatia chini chelsea hakuna cha sarri ball wala sarra ball! ...mtakimbia kimbia tu uwanjani ovyo na hazard wenu
King Ngwaba wacha kujifanya unajua football na management of players.Unapoutazama Mpira Kwa Upofu Siku zote Utaendelea Kuwa Kipofu...
Kinacholeta Mashaka Ni Mpale Mshabiki Wa Chelsea anaposema "Chelsea ina Miezi Miwili tu Kwa Sarri lakini inafanya Vizuri"!!!!
Hivi Kwa Pale Uengereza Ukitoa Chelsea na Spurs Ni Timu gani Nyengine Wachezaji Wake Waliokaa Kwa Muda Mrefu na Kutengeneza Chemistry ya Muda mrefu?
Kinachowaangusha Spurs Ni Kuwa Uwekezaji wao Ni Mdogo Wanawekeza Kwa Wachezaji Wa kawaida (Average)..
Lakini Chelsea Kwa Muda Mrefu Wamewekeza Kwa Wachezaji Waliokuwa Talented hapo Mwanzoni ambao Wapo Kwenye Timu Kwa Muda Mrefu 3+ years.
Sasa Sarri ana miezi Miwili lakini Wachezaji hawana Miezi Miwili na Ndiyomana unakutia Hata Yule Kocha Wa Ndondo Conte alibebwa na Timu akachukua Kombe.
Tofauti na Timu Zetu Man United, Arsenal na Liverpool ambazo Kila Window unakutia Sura Mpya Makocha Wakihangaikia Kutengeneza Chemistry jambo ambalo Linahitaji project ya Muda mrefu.
Wakubali tu kuwa wachezaji wa Chelsea ni wazuri kuliko wa wa kwaoMzee wa "some one will suffer" .. Klopp has been there long enough kumfananisha na Sarri ,.. kubali tu somewhow Sarri ameweza kuunda Chemistry ya timu kwa formation yake kwa muda mfupi kuliko watu walivyotarajia .. 4 seasons and counting endelea kusubiri Mo Michu afufuke maana bila hivyo "Futuhi" itawahusu next season
Salah hana consistency, msimu huu anafanya vizuri, msimu ujao anaharibu.Inaonekana Liverpool wachezaji wake ni wa kawaida sana
Nyota ni wawili tu sallah na kipa wao basi labda kwa mbali vvd