Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
sawa wewe ndio unajua position na role ya jogihno uwanjani sisi atujui!
keep in mind that Liverpool are the only team with 100% record in EPL!
six straight wins then unasema mapema?? gari moshi ndio limeshawaka hilo tukutane jumamosi in EPL!Tusubr mapema sana
Deep lying midfielder anacheza juu ya mabeki. Halafu unataka hvyo. We mlete mchezaji wako wa liver
Na ndiyo maana kuna wakati Hazard alihamia upande wa kulia tatizo likawa striker.Pellegrini: "Chelsea had a lot of possession because we allowed them to, we wanted them to play on the right and not Alonso or Hazard. The second we maybe lost too many balls. I think the draw is not a bad point."
He's right, our right side isn't dangerous enough.
No.2, 3, na 4, zinatofauti gani !?Niseme neno kwa Alvaro Morata. "Amekuwa Sikio la kufa..."
Nafasi nzuri kama nne au tano kazipoteza zote
Morata hata akibaki na goli ataokoa tu, mark my words
Kuna pasi moja aliipata hata kwa tumbo angefunga yeye akaipaiza
Vitu vinne vinamuondolea Morata confidence na zote zimefungwa katika bei yake ya kunuliwa ambayo kwa kweli haiendani naye
Yote hayo zimempa pressure ambayo kwa kweli imemlemea na hataweza tena kufanya vizuri akiwa Chelsea
- Bei yake kubwa inampa pressure ya kufunga magoli mengi
- Matazamio ya mashabiki ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
- Matazamio ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
- Matazamio ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
Ni vyema uongozi wa Chelsea wakamuuza au kumtoa kwa mkopo ili akaanze upya huko
....Madrid wakikupa kijana mdogo kama Morata, na ukadhani umepata ujue hiyo imekula kwako.Niseme neno kwa Alvaro Morata. "Amekuwa Sikio la kufa..."
Nafasi nzuri kama nne au tano kazipoteza zote
Morata hata akibaki na goli ataokoa tu, mark my words
Kuna pasi moja aliipata hata kwa tumbo angefunga yeye akaipaiza
Vitu vinne vinamuondolea Morata confidence na zote zimefungwa katika bei yake ya kunuliwa ambayo kwa kweli haiendani naye
Yote hayo zimempa pressure ambayo kwa kweli imemlemea na hataweza tena kufanya vizuri akiwa Chelsea
- Bei yake kubwa inampa pressure ya kufunga magoli mengi
- Matazamio ya mashabiki ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
- Matazamio ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
- Matazamio ya ufungaji wa magoli kutoka kwake
Ni vyema uongozi wa Chelsea wakamuuza au kumtoa kwa mkopo ili akaanze upya huko
Mbona Kovacic yupo fresh tu.......Madrid wakikupa kijana mdogo kama Morata, na ukadhani umepata ujue hiyo imekula kwako.
Na ndiyo maana kuna wakati Hazard alihamia upande wa kulia tatizo likawa striker.
Ulikuwa wakati ule Giroud ametoka akaingia Morata. Sekunde chache mbele Hazard akitokea kulia akamgusia back pass Morata ila alikuwa slow ikapotea.
Alichokisema Pellegrini iwapo Utakichukua Kimakini Kabisa utakutia Kuna Jambo la Kujifunza Ndani Yake.
Timu zinaisoma tu SarriBall na Karibu Zitaidhibiti Kama Zilivyoidhibiti Gengenpressing ya Klopp na akaamua Kuachana Nayo.
Sasahivi Washajua Kama SarriBall Ni kumiliki Possession, Kwahiyo Timu Zinakuachia Upossess Mpira dakika zote 90 wao Wameshasoma Kama Udhaifu Wa SarriBall Ni Finishing.
Kwahiyo Wanakungoja Kwenye Finishing Ndiyo Wanablock Penetration yoyote ya Key pass.
Sasa Baadae Timu zitakuja Kuwatumia Kwenye Counter attack pale utakapokumbana na Timu yenye kucheza Counter.