Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,812
- 82,328
Nakuhakikishia katika hizi mechi mbili tarehe 26 na 29. Ukijitahidi sana utapata sare moja.Sio mbaya...kuna Liver wa kumtolea machungu.
Sisi wenyewe tunajua beki bado kabisaeden Kimaro Hazard. Nilikuambia jana, beki ya Luis na Rudiger sio imara. Mlamba ugoro kaona.
Kama ulivyowaeleza wiki iliyopita Walipewa uongozi wa siku 7. Period.Hongereni Chelsea Kwa Kuweza Kuongoza Ligi Kwa Wiki Moja Kweli Mumeonesha Ujasiri Wa Hali Ya Juu Manake Ni Jambo dogo Kuongoza Ligi Kwa Siku 7.
Furahia basi unaongoza leagueYani Nimeangalia Mpaka Dakika Ya 72 bado Ni Bilabila, Wacha Niendelee Kubakia Neutral tu Kwasasa ili MTU Mzima Nisijeumbuka.
Walikua wanacheza pasi 10 goli nini [emoji23][emoji23][emoji23]180 - Chelsea midfielder Jorginho attempted 180 passes against West Ham – since 2003-04, this is the most by a player in a single Premier League match. Metronome. OptaJoe on Twitter
Cc: Penison
View attachment 875548
Bila shaka hii ni match ya kwanza Liverpool anabahatisha kufikisha pass 700Total passes this weekend
Man city -800
Liverpool -749
Chelshit -745[emoji4]
Sarri ball sarri nyoli
Sio mbaya tunajipanga kwa gemu ijayo.
West ham wanakuwaga tafu sana kwa Chelsea.
Kwa hiyo mpaka sasa kafikisha passes 685 yeye binafsi180 - Chelsea midfielder Jorginho attempted 180 passes against West Ham – since 2003-04, this is the most by a player in a single Premier League match. Metronome. OptaJoe on Twitter
Cc: Penison
View attachment 875548
Wa kulaumiwa kocha.Hii match ni bahati tu imekosekana
Hakuna wa kulaumiwa
Sifa zimwendee kipa wa west ham
Ulimkuta hajakaa sawa tena ulikuwa nyumbaniPale Washabiki Wa Chelsea Kina Ollachuga Oc Walipodai Liverpool imefunga Kibonde.. ↓↓↓
View attachment 875546
Pale Wanapokutana Nacho Wao Hicho Kibonde Mambo Yakawa Hivi ↓↓↓
View attachment 875550
Bila shaka hii ni match ya kwanza Liverpool anabahatisha kufikisha pass 700
Mnaishia 500 tu