Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Duh, wewe hujipendi. Chelsea inakuja anfield Wiki ijayo kukuonyesha Kz. Then utakuja darajani upewe kz ingine. Yani wewe ni wa kufa tuHaha nangoja 29 sept nije niwanyoe kwa chupa hapo hapo darajani
Ntakuanzishia kikosi cha kina solanke na burnhood lakin naapa hutochomokaDuh, wewe hujipendi. Chelsea inakuja anfield Wiki ijayo kukuonyesha Kz. Then utakuja darajani upewe kz ingine. Yani wewe ni wa kufa tu
Mtajua wenyewe muheshimiwa diwani. Mkitaka na nyie mpeni Mane apige penati.Hazard MAPENATI ?
Maneno Ya wakosaji. Km penati zikipatikana Kwa Liver mpeni Sarafina jamani kwanini mnashindwa kumpa?Mkuu Usiwabishe Sasahivi Watakuvamia Kwa Maneno..
Subiri Kuanzia November Wakati Washona Nyavu Kina (Kane, Aguero, Salah Na Lukaku) Wakishakaa Kwenye Nafasi Zao ndiyo uje Uwaulize Mr. Mapenalty Kaishia Wapi?
Hawa Ni Wepesi Wa Kusahau Kwani Hata Kante alipobahatisha goli Kwenye Mechi Ya Kwanza Walimtangazia Kufunga Magoli Mengi nikawaambia Hana uwezo Huo basi Walikuwa Wakali hatimae Sasahivi Wameufyata.
Duh itakua hatari aisee. Mafundi passes. Alafu striker awe Morata si Kwa kuchomoka kasi na kuwaning'iniza wapinzaniNitawaonea huruma sana pindi Fabrigas atakapo rudi dimbani aisee, yani kutanoga sana pale kati...
Klopp hawezi kuanzisha kikosi cha michekea. Ataweka full beanbag kurinda heshima ya nyumbani lkn mtagongwa hapo hapo nyumbani na mkija darajani mtagongwa vibaya.Ntakuanzishia kikosi cha kina solanke na burnhood lakin naapa hutochomoka
Nimeona loserfool wamevamia uzi wetu kweli. Nini imekua shida?
Au wameumia kuona Chelsea iko juu hapo?
Chelsea iko juu Kwa tofauti ya magoli na tarehe 29 itakua juu Kwa tofauti ya point 3 au zaidi dhidi ya Liverpool
Kikianza chenyewe mtatafuta pa kutokeaKlopp hawezi kuanzisha kikosi cha michekea. Ataweka full beanbag kurinda heshima ya nyumbani lkn mtagongwa hapo hapo nyumbani na mkija darajani mtagongwa vibaya.
Gorginho na Kante si watu wazuri hapo kati.
Nyie wekeni ile mijitu yenu mi kina Hendo ile mizezeta na kile kiholanzi ki Jojino Ujinadamu muone Kante atakavyo kichafua
Hicho cha sarafina ndo chenyewe?Kikianza chenyewe mtatafuta pa kutokea
tatizo wapinzani wetu waliamini tutafungwa na kutoa maneno ya kejeli kwahiyo si vibaya tukiwajibu, ni washabaki wa man u pekee ndio waliamini kuwa liver ipo kundi la kawaidaLiver tulieni ndo maana mkikutana na wahuni kila mtu anawacheka,
yaani kumfunga psg tena mkiwa kwenu, limekua neno wakuu?
-tulieni asee ligi ndo kwanza imeanza hiyo.