Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nasikia ule mkakati wa kuwaachia Manure ushindi uko kwenye hati hati baada ya kuona hata europa cup mnaweza pigwa daflao. khe khe kheeeeeeeeeeee
 
Chelsea's Abramovich targets Arsenal's ​

new chief scout after bagging Torres and Luiz​




Mwizi mwindaji ......​

khe khe kheeeeeeeeeee​


Abraham O Vich hana tofauti na RA wote ni mafioso, anataka kuua aina yoyote ile ya beautiful game .... ..... .... lakini hapa atakwama maana Arsenal hawana tamaa ya mpunga club iliyojengwa kwa umakini mkubwa. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Updated Live - last:12/02 20:33


Msimamo wa EPL baada ya Acheni Lotte kukubali yaishe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
 
Hadi tunapokwenda mitamboni majadiliano makali yanaendelea pale Darajani kwenye makuti maana Bundi (See below) amekataa kabisa kuruka na kuondoka kwa muda ili Chelsick waweze kumaliza matanga hapo kesho kwa vijana wa mjini maarufu kama Cottagers. JT ameleta pesa za unga ili kuongezea zile za Lamps kutoka kwenye wizi wa supermarkets lakini kutokana na recession ambayo inaendelea kushika kasi Bundi kasema hazitoshi hivyo njia ni moja kumwona mafioso mkuu ili angalau aokoe jahazi.

Kutokana na usiri wa mikutano kama hii habari nyeti kabisa zinasema uamuzi utatolewa asubuhi mnamo saa 11:00 am GMT.


Chacha peasant's twambie-ni mtamaliza matanga au La?



Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee​



NB Peasant mimi chichemi mbaya wako huyo hapo juu.​
 

...e bana weee, a ha ha hha ha! duuuuhhh, Bundi kagoma kuruka?





 
Claude Makelele left. I cried. Before long thereafter, I granted Michael Essien personal favorite status – a rank reserved fοr οnƖу a select few. Bе humbled, Mike.
Lately, bυt, аѕ thе Ghanaian’s formed hаѕ waned ѕο tοο hаѕ thе Ɩіkе affair.


Read more: Are the Michael Essien days gone ? | UK Soccer Info
 
Waungwana wa chelsea uwa mnakwenda kumuangalia huyu dogo wa kitanzania kwenye mechi za reserves? Hii ni kutoka kwenye mechi ya Chelsea na Barnsley Feb 11th.


Chelsea vs Arsenal




​
 
Waungwana wa chelsea uwa mnakwenda kumuangalia huyu dogo wa kitanzania kwenye mechi za reserves? Hii ni kutoka kwenye mechi ya Chelsea na Barnsley Feb 11th.


Chelsea vs Arsenal

​

Adam Nditi,...talented kid in the wrong academy!....
angekuwa Arsenal Academy angefika mbaaaaaali!...anyway, kila la kheri.

Mdingi wake, Eric Nditi alikuwa winger hatari Kikwajuni FC - Zanzibar,
enzi zile "KSC" ya kina Masoud Chile wana upinzani wa jadi na 'Moto' Small Simba ya kocha Abdulghani Msoma.
Miaka hiyo mheshimiwa Hafidh Ali Tahir(Mb) alikuwa anawabeba sana Small Simba, japo alikuwa refa wa kimataifa..

Big Up Adam!!!
 
hahah mzee naona umepiga kijembe... Ebanae mdingi wake mshikaji wangu sana tu.
 


Nani ni nani khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee​

Nani anapanga timu leo ... .. Abraham O Vich ..... ....Oooops Amanolo au Acheni Lotte?​
 


Yeah, dogo nimemwona iko pontential pale, I hope ataendelea kuweka effort hasa ukizingatia mzee wake ni mtu wa soka.

Dogo yuko kwenye academy ya mabingwa, na anacheza kama bingwa mtetezi wa FA Youth Cup na alitoa pasi iliyowaua Arsenal mwezi jana. Tatizo lingine ni kwamba hawezi kuongea kifaransa hivyo Arsenal academy ingekuwa mzigo kwake.

Come on you Blue Adam.
 

Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee​

Wakuu habari za ndani ... ... mkuu wa mafioso kabania mpunga kwa hiyo Bundi haondoki kama tulivyotarajia ahadi ilikuwa 11:00 am lakini kutokana na matatizo ya kiufundi habari hizi nyeti ndio zimeingia. Abraham O Vich alikuwa akubali kama mchezo huo ungekuwa kwenye ''cow shed'' pale darajani. Drog the Bar nje na timu imepangwa na Amanolo kwa kushirikiana na Abraham O Vich ........ ....



Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wanamtegemea Mike Dean aokoe jahazi.
 
Fulham: Schwarzer, Baird, Hughes, Hangeland, Salcido, Duff, Sidwell, Murphy, Dempsey, Johnson, Dembele. Subs: Stockdale, Kelly, Pantsil, Gera, Gudjohnsen, Greening, Davies.
Chelsea: Cech, Ivanovic, David Luiz, Terry, Cole, Ramires, Essien, Lampard, Anelka, Torres, Malouda. Subs: Turnbull, Drogba, Mikel, Ferreira, Kalou, McEachran, Sala.
Referee: Mike Dean (Wirral)

Ngoja tuone hizi Tactics za Kocha wenu...DROGOAL Benchi......
 
So far chelsea are not at their best.....Fulham wamepata kona 3 ambazo zote zimeishia mikononi mwa Cech....A. Cole hana ile game yake ya Kupanda mbele kwa sababu ya DUFF anasumbua kiasi upande wake.....Tores bado hajaonyesha chochote ila sio sababu koz the guy is unpredictable.....More to come.................
 
HT........Labda 2nd half watakuja kamili hawa jamaaa wa Darajani.....
 
Its Kalou 4 Anelka......may be he can change the game......Drogba Je???????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…