Khe khe kheeeeeeeeeeeeee mpira mmeshindwa sasa maneno mengi kama pilipili manga. Free transfer does not mean free kama ni hivyo Michael Ballack mlilipa kiasi gani? Mkuu wachezaji wenu wengi walikuwa mizoga kwenye timu nyingine ndio maana wapo kwenu.
BTW sio wewe ulikuwa unapinga kwamba hamuuzi madawa ya kulevya? Kama kawa, kama huoni uozo wa Stamford bridge utajuaje uzuri wa Emirates. Endeleeni kula makombo ya Abraham O Vich hata siku moja hamuwezi kuwa mali kitu.
Usipate sana homa ya macho jamaa yangu.Hawa vijana watapoteana soon tu, tuwape muda kidogo hivi,Jumatano iko mambo pale kwao.Inabidi wafanye Checkup ya kufa mtu ya gobole lao lasivyo watapoteana porini ile kichizi jtano. Gobole limeanza kukorofisha since last jmosi,ninahisi limeanza kupata kutu au limeishiwa ile kitu inaitwa masase. Babu anahaha ataepuka vipi ile kitu mbaya iliyofanyiwa Madrid. Thus,kuna possibility vijana wakaliwa na mbwa mwitu jmosi.Giro,
don't worry, be happy, that is the game. May be match zilizobaki watashinda.... Natamani Asernal wapotee ili huyu Wacha1 na ndugu zake akina Mbu, Madaso, Wenger and the co wahamishe kijiwe Imarati. Dah wanasumbua saaaana hapa.
Hivi Sanda Matuta upo?
khe khe khe, "dua la kuku...!"
Ila mkuu to be fair hao wachezaji mizoga wa chelsea have achieved more ukilinganisha na wachezaji wa timu nyingi za epl including arsenal.Khe khe kheeeeeeeeeeeeee mpira mmeshindwa sasa maneno mengi kama pilipili manga. Free transfer does not mean free kama ni hivyo Michael Ballack mlilipa kiasi gani? Mkuu wachezaji wenu wengi walikuwa mizoga kwenye timu nyingine ndio maana wapo kwenu.
BTW sio wewe ulikuwa unapinga kwamba hamuuzi madawa ya kulevya? Kama kawa, kama huoni uozo wa Stamford bridge utajuaje uzuri wa Emirates. Endeleeni kula makombo ya Abraham O Vich hata siku moja hamuwezi kuwa mali kitu.
Ila mkuu to be fair hao wachezaji mizoga wa chelsea have achieved more ukilinganisha na wachezaji wa timu nyingi za epl including arsenal.
Ila mkuu to be fair hao wachezaji mizoga wa chelsea have achieved more ukilinganisha na wachezaji wa timu nyingi za epl including arsenal.
CHELSICK boss Carlo Ancheni Lotte has admitted defeat in the Premier League title race. The Italian insists the 10-point gap between the current champions and leaders Manure is too great to claw back.
And the Stamford Bridge chief has instead turned his focus on making sure the fourth-placed Blues finish in a Champions League spot
:twitch:
On your dreams mate! I can see you've got a mate khe khe kheeeeeeeeeeeee mkumbatie tu. You will make a nice couple khe khe kheeeeeeeeeeeeeee.
'In my dreams?' tunazungumzia facts hapa...weka idadi ya vikombe ambavyo chelsea na arsenal wameshinda tangu 2001 mpaka leo?On your dreams mate! I can see you've got a mate khe khe kheeeeeeeeeeeee mkumbatie tu. You will make a nice couple khe khe kheeeeeeeeeeeeeee.
'In my dreams?' tunazungumzia facts hapa...weka idadi ya vikombe ambavyo chelsea na arsenal wameshinda tangu 2001 mpaka leo?
"Man U... Red Devils Hatushikiki"
...poleni sana wakuu!
Wacha1,...bango hili nimelikuta karibia na Bromton Cemetery, 'nasikia' mitaa hii kuna kiwanja cha mpira
chenye jina la daraja la Stamford sijui...aarrghhh. Anyway, nasikia kwa misiba hapo ...weeee!!!
Nafikiri hiyo Bromton Cemetery itakuwa ndani ya Emirates stadium, hakuna kitu kama hicho West London. Try harder! But Fat Arses are welcomed to be buried at Brompton Cemetery
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeee .... ..... ..... when you know the difference between rules and guidelines come back khe khekheeeeeeeeeeeeeee
Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
Jibu swali, Wacha kurukaruka kama headless chicken au ndio madawa yanakuathiri unabaki kuchekacheka kama chizi. Umeambiwa uweke idadi ta vikombe hapa tangu 2001 kati ya Champions Chelsea na Pretenders Arsenal, mbona swali rahisi sana hilo?!! Punguza unga mkuu tusije kukuokota chini ya Tube.
Four-gone conclusion ... .... Acheni Lotte
admits Chelsick are out of title race
Huyu jamaa ndiye analia khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Khe khe kheeeeeeeeeeeeenicheke mie khe khe kheeeeeee
Nafikiri hiyo Bromton Cemetery itakuwa ndani ya Emirates stadium, hakuna kitu kama hicho West London. Try harder! But Fat Arses are welcomed to be buried at Brompton Cemetery
Jibu swali, Wacha kurukaruka kama headless chicken au ndio madawa yanakuathiri unabaki kuchekacheka kama chizi. Umeambiwa uweke idadi ya vikombe hapa tangu 2001 kati ya Champions Chelsea na Pretenders Arsenal, mbona swali rahisi sana hilo?!! Punguza unga mkuu tusije kukuokota chini ya Tube.
Hawa Mashabiki walioandika hivi ni wa Chelsick tena core fans wenye kadi sio washabiki koko kama kina Peasant's ..... ..... ...... khe khe kheeeeeeeeeeeee