Case ya Luiz na Barkley ni moja lakini Luiz anayo zaidi hata wakati wa Conte alisababisha timu ikabugizwa magoli mengi na AS Roma. Mimi naona apewe Andreas Christensen zaidi ili akomae bado ni mdogo kasi na concentration yake ni kubwa kuliko ya LuizBinafsi hata mimi naona Christensen anastahili kunza mbele ya Luiz. Huyu jamaa ana miez 6 hajacheza for now bado hajawa fit kuanza kila match.
Kwa Barkley bado naona ana uhai zaidi ya Kovacic
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika mfumo huu angefaa sanaHivi masta wa assist Fabrigasi yupo wapi, maana hata kwenye benchi la akiba haonekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Fab majeruhiHivi masta wa assist Fabrigasi yupo wapi, maana hata kwenye benchi la akiba haonekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Luiz anajua kukaa na mpira na kutoa pasi zenye macho.Case ya Luiz na Barkley ni moja lakini Luiz anayo zaidi hata wakati wa Conte alisababisha timu ikabugizwa magoli mengi na AS Roma. Mimi naona apewe Andreas Christensen zaidi ili akomae bado ni mdogo kasi na concentration yake ni kubwa kuliko ya Luiz
Kwa Kovacic na Barkley, kocha aendelee kuwa interchange mpaka apate nani anafaa kwenye starting XI
Kovacic kwa umri wake anayo nafasi ya ku mature kuwa kama Fabregas na zaidi kwa maana ya kuwa na defensive skills.
Wachambuz wa mpira ESPN wanakwambia centre beki naeoffer throuh pass za uhakika ni antonio rudiger, Cahill anasepa na Ampadu ameshaitwa kikosi cha kwanza ameanz kufanya nao mazoez,... Luiz bench linamuhusu sana tuu......Luiz anajua kukaa na mpira na kutoa pasi zenye macho.
Christensen anajua kukaba ila huwa anabutua. Labda ni uchanga ila anatakiwa kuwa mtulivu awapo na mpira. Hilo ndilo linalomweka benchi nyuma ha Luiz.
Kwa mechi ambayo tunajua hatutaweza kushambulia sana (kama mechi na Man city labda) Barkley ataanza mbele ya Kovacic kwa kuwa ana defensive skills nzuri zaidi. Ila kama tunataka udambwidambwi ni lazima Kovacic aanze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kovacic bado hajarudisha makali yake ya Madrid. Ila sijasema Barkley anamzidi uwezo Kova.Siamini kama Barkely ana uwezo kumzidi kovacic , naona kova anaoffer vitu vingi zaid kama kukaba, kupiga accurate passes na pia kupunguza presha ya timu pinzani, luiz pia anaongeza uhai zaid kwenye midfield
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hajarudisha ile perfomance yake ya Madrid. Tumpe mudaKovacic anakupa vitu viwili kukaba na kushambulia
Baklay anakupa kimoja tu kushambulia
E&K
Kweli mkuuCase ya Luiz na Barkley ni moja lakini Luiz anayo zaidi hata wakati wa Conte alisababisha timu ikabugizwa magoli mengi na AS Roma. Mimi naona apewe Andreas Christensen zaidi ili akomae bado ni mdogo kasi na concentration yake ni kubwa kuliko ya Luiz
Kwa Kovacic na Barkley, kocha aendelee kuwa interchange mpaka apate nani anafaa kwenye starting XI
Nani kakwambia Chelsea wanatwaa uefa cup winner ,na uefa supercup ..ilikuwa 2004?Kabla ya hapo tulikuwa hatuna vikombe?
Nilimuona hachukui muda mrefu ataingia kikosini muda sio mrefu na hatakaa tena benchi
Jiulize tungekuwa na mmaliziaji Kariba ya Diego Costa au DrogbaKwa mpira wa chelsea ya mafegi hata tukifungwa tunaweza kusema mpira tumeucheza. tupo vizuri isipokuwa mapungufu ya beki line yetu inatutia presure wakati waechi
He also forgot to tell us that he changed kante from a player into an opponent circuit breakerDear Mr Sarri,
- You told us about the Sarri ball but you did not tell us tha you will convert Alonso to a striker?
- Why did you not tell us that Jorginho was not just a player but also a pass master?
- Your team had 82% ball possession and ur opponent had 18%. Isn't that wicked?
- jorginho had more passes than the whole Newcastle team. Wasn't that humiliating your counterparts?
- Minister of defence Mr Antonio Rudiger was my man of the match for that long range strike that blasted the woodwork. Did you also notice?
- lastly Mr Sarri, please help me tell Mr Kovacic that I said he is a beast that should be feared by opponents this season.
yours friendly
Sarri ball lover
N.B Please tell Mr Hazard not to be a ONE MAN GANG our opponents also need tym to breathe during play.
Sent using Jamii Forums mobile app