eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Tuko na Sarri mzee asiejua kukaba Bali kushambulia tu [emoji3]Chelsea naona mmetakata, sio kwa gonga hizi, ila kuweni makini, Arsenal wakitulia mtakufa kwa Counter.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] chelsea ya Sarri haijui kukaba ni mbele kwa mbele tu sasa hiviHizi timu za leo zimekutana, tripu shamba tripu gereji
Mtu wa kucheza na rudiger ni Christiensen sio Luiz basi tu sarri Ndio kashachagua tenaRudiger na Luiz naona hawaelewani kabisa wanaacha watu nyuma kila mara. Krosi za chini zote wanashindwa kuzifanyia kazi zinafika kabisa kwa mlengwa aisee
Vinatoka vifaa vinaingia vifaa safi sana sarri nimeanza kukuelewaSUB: 60'
Willian anatoka, Hazard anaingia
Barkley anatoka, Kovacic anaingia
Mpira wa sarri ni kushambulia muda wote huko nyuma hana mpango saana ndio maana team ikishambuliwa unaona beki inatikisika ila wao wakiwa na mpira wanakuwa hatari mno
4-3-3Kwa sababu muda mwingi anakuwa mbele anacheza kama Wing-back bado. Anatakiwa akumbuke ni 4-4-2
Amesema bado anahitaji miezi 3 kuijenga team icheze anavyotaka yeye kwa sasa bado sanaSarriball inaanza kufanya kazi kidogo mapungufu yapo kwenye ukabaji kama kuna kutegeana hivi
Nafikiri yakifanyiwa kazi hayo mapungufu timu itatisha msimu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwahi kuwa na shaka naeKumbe kovacic yupo vizuri hivo timu ilibalance bada ya kuingia
#we'are chelsea#
Asante
Kuifunga westham mbovu ndio kunakuaminisha kuwa wataifunga chelsea hii ya SarriballUsijali! Kuna vijana 3 hao wana njaa sana tarehe 29 September watakuja Kuirekebisha hiyo defence yenu.
Hii ilikuaga Moto naamini wengi wao wamesahau hii siku[emoji460] 4' Eto'o
[emoji460] 7' Schurrle
[emoji460] 17' Hazard (Pen)
[emoji460] 42' Oscar
[emoji460] 66' Oscar
[emoji460] 71' Salah
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua mara ya mwisho we kunifunga ilikua 2016. Kama hutaki tuzungumzie past basi naomba hata future tuiache kama ilivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuifunga westham mbovu ndio kunakuaminisha kuwa wataifunga chelsea hii ya Sarriball
E&K
Mwenzio kaongea point unaongoza mbili bila zote zinarud fasta hilo tatizo lazima kocha afanyie kazi upende wa bek sasa ukishambulia kwa city na liverpool utapona?Mpira wa sarri ni kushambulia muda wote huko nyuma hana mpango saana ndio maana team ikishambuliwa unaona beki inatikisika ila wao wakiwa na mpira wanakuwa hatari mno
Hii inaitwa Sarri ball
E&K
Sanchez analipwa USD 500k au Paundi 500K give me a break!Huo ni uonevu wa Hali ya juu!!
Sanchez anavuta 500K per week halafu unataka umlipe Hazard only 300K ?????
Seriously!
Sijui Sarri anampendea nini Luiz ambaye alitakiwa kuwa China na Oscar. Wamweke Andreas Christensen acheze na Rudiger kwani anajitumaMtu wa kucheza na rudiger ni Christiensen sio Luiz basi tu sarri Ndio kashachagua tena
E&K
Westham ambayo jana walifungwa na vibonde wenzao wa BournemouthKuifunga westham mbovu ndio kunakuaminisha kuwa wataifunga chelsea hii ya Sarriball
E&K
Hijazungumzia na kosakosa zetu. Hapo Hazard hakuanza. Nakusubiri kwa hamu wewe mwenye timu bora. *****Jamani tuwe wakweli,mwaka huu pia TEAM hamna!
Aube anakosa bao 3 yy na goli
Mikhi anakosa bao la ajabu
Ilwobi anakos abao la wazi
Mkicheza vile na Liverpool,Spurs na Man City walahi mnakula 10-1
Mane au Salah au Firmino hawezi kosa seat up kama zile za Auba
Team kw akweli bado hamna
Nani hapa bado hayaogopi Majogoo?