Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ana miaka mingi Liverpool hadi Sasa....na sarri ana miaka mingapi Chelsea. Usiweweseke subiri uone ligi ikianza.
 
Juzi pamoja na kikosi chetu hicho mnachokiponda kimenyanyua kwapa kwa Kuchukua FA Cup. Je Liverpool imeondoka na Nini wakati ilikuwa Bora kuliko Chelsea?
 
Simjui Jorginho vizuri, but naona ni 6, sasa najiuliza yeye na Kante nani zaidi?? ataongeza nini kikosini ambacho kante hana??
 
Simjui Jorginho vizuri, but naona ni 6, sasa najiuliza yeye na Kante nani zaidi?? ataongeza nini kikosini ambacho kante hana??
Hujawahi kujiuliza ilitokeaje Victor Moses na Willian wakapata namba wote kwa pamoja kikosi cha kwanza?
 
mashaka yang yako kwenye mabek wa pemben wanapoteana kinoma an
 
Juzi pamoja na kikosi chetu hicho mnachokiponda kimenyanyua kwapa kwa Kuchukua FA Cup. Je Liverpool imeondoka na Nini wakati ilikuwa Bora kuliko Chelsea?

Yani mpaka sasa bado sijajua hasa point yako Ni Nini! Naona unalialia na Liverpool tu!
Mana Hapa hakuna aliyeongelea Kuwa Liverpool ni bora Kuliko Chelsea..
Bora Nikuache tu uendelee kujibisha mwenyewe.
 
Huu mwaka wa ngapi mkuu mko na klop
Bado mnajenga team?
 
Sasa ndo ujue Kocha anaweza kuwatumia pamoja. Mfano 4 1 2 3 Kante anacheza nyumba ya Barkley na Jogihno

Mkuu Wako Ni Mtazamo na Wangu Ni Mtazamo! Lakini Kiuhalisia Kama Si Kocha Wa Kupaki Basi Kama Mourinho! Kwa Mfumo wowote hule Joginho na Kante Huwezi Kuwachezesha Kwa Wakati Mmoja. Labda Uwe Umeshashinda unaamua Kuwaingiza ili Wakalinde goli.
 
Huu mwaka wa ngapi mkuu mko na klop
Bado mnajenga team?

Huu Ni Mwaka Wa 3½ bado Klopp anaendelea Kuijenga Timu na inaweza Chukua Hata Miaka 5 ndiyo Kukamilika Kutokana na Hali aliyoikuta Kwani Haikuwa Timu ya Kuongeza Wachezaji 2 au 3 Bali Ni Matengenezo Ya Kutafuta Wachezaji wote 11 wapya na Marizavu wake Kutokana na Kikosi Fake alichokikuta.

Na Sasahivi Kama unavyoona Alianza Mafoward Kuwatafuta Kina Mane, Salaha na Xhaqiri, Kaja Mabeki Kuwaleta Kina VVD, TAA na Robertson, Kaja Viungo Kawaleta Keita na Fabinho, Kaja Kipa Kamleta Alisson, Sasahivi Bado Mbadala Wa Lovren na Henderson pamoja na Rizavu Wawili Timu itimie Kutengenezeka.

Sasa usifikirie Wachezaji Wote hao Unaweza ukawaleta Kwa Msimu mmoja au Miwili.. Ni lazima Kocha Ahitaji Misimu 4 au 5 ndiyo uweze Kutengeneza.

Kama Hukumifahamu hapa nadhani Sina cha Kukusaidia.
 
Sikilizeni Nyinyi! Huyo Courtois Wapigeni Real Kwa £80m, Halafu Nyinyi Munatoa £70m Munamchukua Oblak Wa Atletico hapo Mutakuwa Mumesha tengeneza Faida ya £10m.
Unavyowaambia utafikiri na wao wanahusika ktk kutoa maamuzi dah
 
Vikombe mtavisikia tu
Angekuwa chelsea tushamtimua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…