Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,052
- 27,455
Chanzo kikuu cha kumbadilisha Conte na kumleta Sarri ni kubadili uchezaji wa timu kutoka kakaba sana kuja kwenye utawala wa mpira. Yaan uongozi unataka mpira burudani.Huyu mzee anatuletea mambo ya ki-wenger wenger pasi nyiiiiiingiii goli empty,halafu bora amwanzishe bwana midevu kuliko huyu dogo tozi...
Mkuu achana na plastic fans. Tumpe muda bhanaYani ghafla tushaanza kumponda kocha mapema yote hii
Wengi wanapenda mpira ila hawaujui mpira mafanikio hayaji mara moja timu anayojenga sari huenda akafaidi kocha ajae wengi hawajui.Yani ghafla tushaanza kumponda kocha mapema yote hii
Kivipi tenaOYAA UYU SARI KAMA KAANZA KUZINGUA
Mpira gani ule wa jana bora conte jamaa anaonekana ana mpira mwepesi sana apo bado atujakutana na timu viziaji kama kina manureKivipi tena
Chelsea mmeliwa
While Courtois tries to force Chelsea into a corner over his future, the club are willing to pay Hazard over £300,000-a-week to extend his contract, which has two years to run. But the 27-year-old is unlikely to rush into signing it despite accepting he will remain at Stamford Bridge this season. #Matt Law-DT #CFC
Hmm.. Huyo Oblak kumtoa pale ni kazi sana. Courtois mwenyewe hafiki £50M.Sikilizeni Nyinyi! Huyo Courtois Wapigeni Real Kwa £80m, Halafu Nyinyi Munatoa £70m Munamchukua Oblak Wa Atletico hapo Mutakuwa Mumesha tengeneza Faida ya £10m.
Hmm.. Huyo Oblak kumtoa pale ni kazi sana. Courtois mwenyewe hafiki £50M.
Real Madrid wameacha kuwasajili De Gea & Allison kwa sababu ni expensive kuliko TBOSikilizeni Nyinyi! Huyo Courtois Wapigeni Real Kwa £80m, Halafu Nyinyi Munatoa £70m Munamchukua Oblak Wa Atletico hapo Mutakuwa Mumesha tengeneza Faida ya £10m.