Kwani Fab alikuwa ameshapigwa sub wakati huo?Kumpa penalty morata lilikuwa kosa
Mambo ya kawaida sana hayo...Hivi Muko aware Kwa tension mpya ishayoibuka?
Maurizio Sarri ana kikao Kizito na Willian baada ya Willian Kwa Makusudi Kuchelewa Kujiunga Na Kikosi Kuliko Muda Aliopangiwa aripoti Kwani Timu ya Brazil ilitilewa mapema WC na akapewa Deadline ya Kuripoti Bali aliamua Kubana Brazil utafikiria alicheza Fainali.
Naaaaam.Huyu Odoi akipewa nafasi atakuwa mchezaji mzuri sana
Mbona sky sport waliripoti kuwa kulikuwa na dosari kwenye viza yake jambo ambalo lilimfanya achelewe na chelsea walikua wanajuaHivi Muko aware Kwa tension mpya ishayoibuka?
Maurizio Sarri ana kikao Kizito na Willian baada ya Willian Kwa Makusudi Kuchelewa Kujiunga Na Kikosi Kuliko Muda Aliopangiwa aripoti Kwani Timu ya Brazil ilitilewa mapema WC na akapewa Deadline ya Kuripoti Bali aliamua Kubana Brazil utafikiria alicheza Fainali.
?????#pic of the day...View attachment 824775
Mbona sky sport waliripoti kuwa kulikuwa na dosari kwenye viza yake jambo ambalo lilimfanya achelewe na chelsea walikua wanajua
Huyu dogo ni konyo. Ahusike timu ya wakubwa tu#pic of the day...View attachment 824775
wachezaji walikuwa wameuchoka mfumo wake na timu nyingine zilimjulia akakosa mawazo mapya.Aise tumezingua sana kumfukuza Antonio Conte.
Unamwamini naniHuyu sarri huyu mi simuamini kabisa huyu mzee..
Toa faby weka BaclayKwa kikosi hiki tulichonacho wana Chelsea tutarajie makubwa msimu ujao kutoka kwa kocha wetu misigara
Man Utd ni wake zetu awatuwezi watasubili sana tu labda babu arudi
Nasema hivi mtapata taabu sana.View attachment 824808
Huyu bado hajauzwa tu.Olivier Giroud
CHELSEA wapo katika mazungumzo ya nguvu na Marseille kwa ajili ya kumuuza staa wao, Olivier Giroud kwa dau la pauni 20 milioni tu baada ya staa huyo kutokuwepo katika mipango ya kocha mpya, Maurizio Sarri.
Wababe hao wa Stamford Bridge walimnasa staa huyo Mfaransa katika dirisha la Januari akitokea Arsenal walipokuwa chini ya kocha, Antonio Conte lakini sasa wanataka kuachana naye na kutafuta mshambuliaji mpya.
naona kama atatujambisha..Unamwamini nani
Huyu bado hajauzwa tu.