Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,050
- 27,454
Dogo Tammy anajitahid sana. Inabidi apate nafasi ya kutosha.Kwa striker...kama Morata akicheza hivi alivyocheza game ya Milan...basi yeye na Giroud wanatosha kwa msimu huu. Sijui kama Batshuayi atauzwa ama la...ila na yeye akijitahidi atachukua mikoba ya Giroud msimu ujao. Sidhani kama Tammy Abraham atatoboa kwenye timu hasa msimu huu. Alikuwa afadhali zaidi yule Traore kuliko Tammy (kwa mtazamo wangu).
Bado striker tunahitaji mtu kama Lewandowski, Costa au Icardi. Hawa waliopo hawapeani presha.Defence tuna mabeki wa kutosha ninaamini..ni motisha tu kwa wachezaji...kw Europa na ligi za ndani..sidhani kama msimu huu tunahitaji kufanya usajili mkubwa sana. Msimu ujao ni wa muhimu sana maana mikataba ya wengi inakata na wengi wao ni ambao umri umesonga kina Cahill, Luiz, Pedro, Giroud nk nk...msimu ujao ni critical sana kufuatilia usajili tutakaofanya.
Msimu huu ni kocha tu kucheza na wachezaji waliopo...ushindi upo kwetu. #letshaveFun
Umenena vyema kabisa.Kati ya Hawa Jorginho, Ross Barkley, Bakayoko, Fabregas, Kante ni Kwamba!
Kwa Mfumo Wa 4-3-3 atakapocheza Joginho na Kante basi Technically Bakayoko haitowezekana Kucheza, Ni Lazima wacheze na Fabi au Bark.
Yani Jogi-Kante-Fabi
Au Jogi-Kante-Bark
Bakayoko Atacheza pale Mmoja wapo Kati ya Kante au Joginho atakapokuwa Yupo Benchi.
Yani Baka-Kante-Fabi/Bark
Au Baka-Jogi-Fabi/Bark
Mbele ya Hao Watatu Patakuwa na Willian-Giroud-Hazard.
Kwahiyo Mfumo Huo utamlazimisha Kocha aingie Sokoni atafute Central Attacking Midfielder Kwani Fabi au Bark kutokana na Pace Yao Ya Ushambuliaji Wataupoza Huo Mfumo Cuz Anayesimama Hapo Katika Hao Watatu anakuwa ni Namba 10 ambaye anakaa Centre na Kushambulia golini, ni Lazima awe na Pace Kama alivyokuwa Coutinho.
Iwe Jogi-Kante-New CAM
Bado striker tunahitaji mtu kama Lewandowski, Costa au Icardi. Hawa waliopo hawapeani presha.
Real ishu sio pesa ila walisema chairperson wa Spurs ni sturbon, hataki hata kukaa mezani kujadili.Lewando Kwa Sasa inaonesha Wazi Atastaafia Bayern...
Ukitoa Lewando Striker ambaye Ni Traditional Namba 9 na World Class Ni Harry Kane...
Kwasasahivi Timu inayoweza Kumnunua Harry Kane labda Ni PSG peke Yake...
Manake Hata Real hujifanya Kumfatilia lakini Wanashindwa Kuingia Sokoni kwa Bei Yake...
Nadhani Kwa Soko la Sasa Bei Yake Ni £200m...
So, kwa sasa Timu inunue Striker ambaye Ni Average lakini Talented ili imboreshe awe World Class.. Venginevyo itabidi timu ivunje Benki imnunue Harry Kane.
Kweli kabisa. Mtu tuliekuwa na nafasi ya kumleta ni Gonzalo H. Sasa naye ndio anaenda Milan, na mechi za majaribio hizi zimeonyesha kabisa udhaifu katika ufungaji.Lewando Kwa Sasa inaonesha Wazi Atastaafia Bayern...
Ukitoa Lewando Striker ambaye Ni Traditional Namba 9 na World Class Ni Harry Kane...
Kwasasahivi Timu inayoweza Kumnunua Harry Kane labda Ni PSG peke Yake...
Manake Hata Real hujifanya Kumfatilia lakini Wanashindwa Kuingia Sokoni kwa Bei Yake...
Nadhani Kwa Soko la Sasa Bei Yake Ni £200m...
So, kwa sasa Timu inunue Striker ambaye Ni Average lakini Talented ili imboreshe awe World Class.. Venginevyo itabidi timu ivunje Benki imnunue Harry Kane.
Yaan ushindi wa penati mnaona mmewin. Tena kwa kikosi cha pili huku nyie mna mastaa kama wote. Subiri ligi ianzeChelsea matokeo yenu tunayo
Ulikua unasimuliwa mpiraJorginho leo alikuwa anageuzwa tu na yule mtoto wa miaka 19 matteo Guendouz
Nimeangalia wote, au unataka kubishaUlikua unasimuliwa mpira
Timu huna, aiseeYaan ushindi wa penati mnaona mmewin. Tena kwa kikosi cha pili huku nyie mna mastaa kama wote. Subiri ligi ianze
Hongera kwa timu uliyonayo. Tukutane ligi ikianza.Timu huna, aisee
Nunua forwad, usitegemee kuvuka boda kwa fowad morata au jirud,Hongera kwa timu uliyonayo. Tukutane ligi ikianza.
Wewe kwa foward wako ulichukua kombe gani.? Unajikuta unajua kushona na wakati mi ndio tailor mwenyewe. Shut up!!Nunua forwad, usitegemee kuvuka boda kwa fowad morata au jirud,
Kipa cabayero, omba Mungu courtous Abaki lasivyo, nafas ya 10 inakuhusu
Piga kelele tu, tutakuona msimu huu na kina morataWewe kwa fiward wako ulichukua kombe gani.? Unajikuta unajua kushona na wakati mi ndio tailor mwenyewe. Shut up!!
Wakina Ligazeti wamekupa nini mpaka sasa.? Punguza kelele wewe.Piga kelele tu, tutakuona msimu huu na kina morata