Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,478
- 27,185
Navyoijua Chelsea msimu kesho tunachukua ligi coz hatuna presha Na uefa
Kwa Chelsea ya Kina Moses, Drinkwater na Giroud au?
Manake Abramovic Kagoma Kuingia Sokoni Kwa World Class baada Ya Kuwekeza Kwenye Ujenzi Wa Uwanja Mpya!!!
Na Without Champion League usitegemee Kuvuta Wachezaji Nyota!
Hata Hazard Atawatoka Nduki.
Hahaa.. Kwani Liverpool ya kina Mane, Firmino na Salah imekupa kombe gani mzee.?Kwa Chelsea ya Kina Moses, Drinkwater na Giroud au?
Manake Abramovic Kagoma Kuingia Sokoni Kwa World Class baada Ya Kuwekeza Kwenye Ujenzi Wa Uwanja Mpya!!!
Na Without Champion League usitegemee Kuvuta Wachezaji Nyota!
Hata Hazard Atawatoka Nduki.
May his soul rest easy. Amen [emoji120]Chelsea legend Ray Wilkins died aged 61....
RiP former coach and player Ray Wilkins
Njoo uandike tena upuuzi wakoSina la kuandika mpaka siku ya J5 maana naona mlitumia nguvu nyingi kweli sijui kama mtakuwa salama
Hali mbaya,hata top 5 nina mashaka kuitetea.Wenye thread yao wamepotea kimaajabu.....
Hali mbaya,hata top 5 nina mashaka kuitetea.
Aah wapi...Hatujapotea ila tumeawaachia uwanja ili mmwage nyongo zenu kwanza sie tutakuja baadae kufanya masahihisho.
Msikimbie matatizo dawa ya tatizo ni kuli face teh teh tehHatujapotea ila tumeawaachia uwanja ili mmwage nyongo zenu kwanza sie tutakuja baadae kufanya masahihisho.
Tunajiandaa na msimu ujao huu tumepoteza. Kuna wakati wa kupanda na kuvuna.Msikimbie matatizo dawa ya tatizo ni kuli face teh teh teh
Hakuna mwanamichezo asiyepitia magumu. Hata sisi huu ni wakati wa mpito tu. Tutarudi tukiwa imara zaidi.Aah wapi...
nakubali...Hakuna mwanamichezo asiyepitia magumu. Hata sisi huu ni wakati wa mpito tu. Tutarudi tukiwa imara zaidi.