Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,892
- 8,971
mwenye link ya game please
Kumbe Chelsea wanagombea nafasi ya kwenda big 4 leo? Mkilala hii mechi basi hapo ndo itakuwa nyumbani kwenu.Ujue Mourinyo bwege, eti anatuvizia.
Tunakipindi kigumu sana asee..Kumbe Chelsea wanagombea nafasi ya kwenda big 4 leo? Mkilala hii mechi basi hapo ndo itakuwa nyumbani kwenu.
pambaneni maana mashabiki wa man wanakelele sana.
View attachment 701371
dakika ya 30 Konte ana yellow card.Tunakipindi kigumu sana asee..
Nadhani tumesomeka
Cyo konte ni kantedakika ya 30 Konte ana yellow card.
Hii back three ya Chelsea iko poa sana, rudiger, Cesar+ Christensen
Tunakipindi kigumu sana asee..