RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,734
- 11,462
Endelea kuomba dua.Mmeionyesha dunia kuwa Barca ni team ya kawaida tena sana!Barc hii haifikii hata robo Barca ya miaka ya 2006-2012
Chelsea anaenda mtoa Barca
Endelea kuomba dua.Mmeionyesha dunia kuwa Barca ni team ya kawaida tena sana!Barc hii haifikii hata robo Barca ya miaka ya 2006-2012
Chelsea anaenda mtoa Barca
Dah Willian mipira yake anavyopiga huwa inamfanya kipa ashindwe kujua mpira utapitia wapi,maana anaupiga mbele ya mabeki ambao wanakuwa tayari wameshamziba kipa na yeye anasukumia bending shot ya hatari...Conte huwa akimpanga na hazard mbele pale panakuwa murua kabisa.
Not result we wanted but definitely a lot of positive things to pick out of this game , tukutane Camp Nou..
KTBFFH
Szani kama kuna matumain tena... Ngoja niamin maneno yako ..lolote laweza tokeaMkuu Game tayari imeshakuwa Ngumu! Ila Kwa Mujibu Wa Kamari huwa tunasema "Lolote Laweza Tokea"
Haha kweli ww akil hunaDuh! Itakuwa wewe ni mwehu
HujuiIla Chelsea Kutokuwa na Striker Wa Uhakika imesaidia Sana Kuwapa Relief Mabeki Wa Barcelona Kwani Hawakuwa na Mtu Wa Kuwazuia Chini Hatimae Walikuwa Wanapanda Juu Kusaidia Mashambulizi..
Na Vile vile kwao ikawa Kazi ni Rahisi Kwa Kumkaba Hazard na Kuzuia Zile Movement za Willian.
Ni Kosa Lisilokubalika wala Kusameheka Kumpanga Pedro as a striker Katika Game Ya Jana.. Ona alivyopotea Mchezoni Mbele ya Wakatalunya Wenziwe!!!
Hamna talented Striker lakini at least Kwa Jana tu basi Mungelimuamini Giroud kuliko Pedro from La Masia.
Count makosa yaliyokwisha kufanywa na Cahil msimu huu. Kwangu mimi at his age kijana ni mzuri na atazidi kuimarika zaidi na zaidiUmeona makosa ya kijana??
Ongea sasa hao jamaa zako wamepata shot on / off target ngapi kwa game nzima? Kama si kosa la beki ngoma ilikuwa isambe.Subiri utajionea matokeo na kulia mwenyewe soon
Ongea sasa hao jamaa zako wamepata shot on / off target ngapi kwa game nzima? Kama si kosa la beki ngoma ilikuwa isambe.
Chelsea iliwaacha wapigiane mipasi ambayo mwisho wa siku haina madhara; that was tactical aspect of the game.
Mkuu kwenye ukweli tuseme tu. Jana konte angemchezesha striker Chelsea wangeibuka washindi. Lakini kitendo cha kumpanga hazard kama false striker amearibu mwenyewe.Chelsea wamecheza vyema kuliko Barca!Chelsea wametengeneza nafasi nyingi nzuri zaidi ya Barca!
Game bado mpya hii na habari zao kama Barca ni team nzuri zaidi ya Chelsea imekuwa porojo tu!
Chelsea atasonga mbele na watu watapakimbia hapa!
Mkuu kwenye ukweli tuseme tu. Jana konte angemchezesha striker Chelsea wangeibuka washindi. Lakini kitendo cha kumpanga hazard kama false striker amearibu mwenyewe.
Kama hatachezesha either morata au Giroud basi anaweza vuka salama. Lakini akichezesha false striker hatutakuwa na chetu Mark my word.Nadhani Conte yupo sahihi!
Alikuwa anataka fluidity kutoka kwenye 18 yake kwenda mbele na Pedro ndiyo mwenye uwezo huo!
Barca na Chelsea ni game bado mbichi na yyt anasonga mbele ingawa mm nawapa Chelsea nafasi zaidi sababu beki ya Barca mbovu sana kwenye kuhimili pressure
Mashabiki kama nyie ndo mnahitajika siyo shabiki anakata tamaa hata kabla ya kipindi cha kwanza. Barca tunamchapa moja kwao tunamaliza kazi. Sisi ndo blues bwanaChelsea wamecheza vyema kuliko Barca!Chelsea wametengeneza nafasi nyingi nzuri zaidi ya Barca!
Game bado mpya hii na habari zao kama Barca ni team nzuri zaidi ya Chelsea imekuwa porojo tu!
Chelsea atasonga mbele na watu watapakimbia hapa!
Hata mimi naona hivyo, Hazard anafaa zaidi akicheza nyuma kidogo kama attacking midfielder, wazoefu kama akina Giroud wangesaidiana na Willian vizuri zaidi. Hata Morata angefaa kwa sababu anawajua hao Barcelona vizuri. Conte sometimes anaona vibaya sana na ndio maana anampendelea sana Bakayoko mpaka mashabiki wamefurahi kuuguliwa na majerahaMkuu kwenye ukweli tuseme tu. Jana konte angemchezesha striker Chelsea wangeibuka washindi. Lakini kitendo cha kumpanga hazard kama false striker amearibu mwenyewe.
Nasubiria mkuu..ila Chelsea wamecheza vizuri. Nilichofurahi walikuwa hawana papara.Chelsea wamecheza vyema kuliko Barca!Chelsea wametengeneza nafasi nyingi nzuri zaidi ya Barca!
Game bado mpya hii na habari zao kama Barca ni team nzuri zaidi ya Chelsea imekuwa porojo tu!
Chelsea atasonga mbele na watu watapakimbia hapa!