Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Again nimekwambia Mourinho ana ushawishi mkubwa kuliko Conte ndio maana aliwasajili hao wachezaji hiyo bodi ndio hiyo hiyo na hakuna policy iliyobadilika
Investment ni ndogo nw wanaplan ya kujenga uwanja 1 BL. Ulitaka conte afanye nn wakat hausiki yy anatoa mawazo tyu. Anawapa board
 
Mourinho amekuwa akijihusisha zaidi yeye mwenyewe ktk usajili kwa kushawishi target players wake kwa njia ya simu tofauti na conte. Conte yeye akishataja target zake basi kamaluza anaenda kulala wakati Mou akishataja target zake ndo kwanza anaamka na kuanzisha mapambano
 
Mourinho amekuwa akijihusisha zaidi yeye mwenyewe ktk usajili kwa kushawishi target players wake kwa njia ya simu tofauti na conte. Conte yeye akishataja target zake basi kamaluza anaenda kulala wakati Mou akishataja target zake ndo kwanza anaamka na kuanzisha mapambano
Kwa hyo conte anatakiwa apambane ili alete wachezaji ha ha hah. Mnachekesha. Mou alikuwa kwny kamati ya usajili. Conte hayupo yy anatoa wazo then kamati inaamua. Atapambana vipi hapo mbona mnachekesha. Achen kufananisha manager na coach. Coach analetewa mchezaj yoyote ila anakaz ya kumtreat mpaka awe bora. Tofauti na manager
 
Conte awekwe kwenye kamati ya usajili ndo tuanze kumlaumu. Yaani MTU hayupo kwnye usajili unamlaumu ha ha ha hah
 
Leeds legend Johnny Giles slams Chelsea board over Conte treatment

10 hours ago Irish Independent

Disgusting, concludes Giles
Giles: "That's a huge statement of intent United have just made by signing Alexis Sanchez and a poke in the eye for every one of their rivals. Even the noisy neighbours across town must be miffed.

"City will regret this decision but if Pep Guardiola is feeling unsettled by Jose Mourinho's capture of a player who I believe is good enough to lift United to a new level, imagine how the current Premier League champion Antonio Conte is feeling.

"The way Conte has been treated at Stamford Bridge is nothing short of disgraceful and there seems no end to it. Mourinho raided his squad for one of his best men in the summer when he signed Nemanja Matic and while he was pushing hard to get Sanchez, Conte was making enquiries about Andy Carroll and Peter Crouch.

"That tells me a great deal even if it is not at all easy to understand how Chelsea went from winning the title to where they are now."
😀
 
Duuuh unachekesha kwel. Hebu ujicheke mwenyewe. Wachezaj anaoletewa c aliowataka. Hebu nitajie world class player aliyesainiwa kipind cha conte?? Weng ni average players. Ila conte tumsifu now Alonso moses zappacosta ni wachezaj ambao wana effect. Yote ni mipango ya coach. Moses wa Mourinho c wa sasa
Usikalili wewe kama lazima kikosi chore cha wachezaji wawe ni world class player .Nitajie timu ambayo haina Average player why Chelsea ikisaajili Average player iwe sababu ya kufanya vibaya Timu inashinda kwa collectively effect .
 
Roma demanding more money for double deal

21 minutes ago Gianluca Di Marzio

It's the Italians holding the deal up
Gianluca Di Marzio knows everything about the transfer market and he reports that yesterday was another day of contacts between Chelsea and Roma for Emerson Palmieri and Edin Dzeko. Progress was made, but a deal between the club and Dzeko is missing.

The striker is asking for a 3 and a half year contract worth €5.5m plus bonus per season. Chelsea's offer is €20m plus €6m in bonus for Palmieri and €30m for Dzeko (no bonus).

Roma are asking for more. Chelsea will decide in the 24 or 48 hours if they will accept Roma's demands.
 
Lampard: Dzeko player of Chelsea calibre, unlike Carroll and Crouch

43 minutes ago Standard

“Carroll and Crouch are not the kind of names Chelsea have gone for in the past. But January is a tough one and Sanchez is a one-off.

“The majority of the time you’re looking at making minor adjustments If it’s a Crouch or Carroll, it’s just a back-up but Dzeko is something different.
 
Usikalili wewe kama lazima kikosi chore cha wachezaji wawe ni world class player .Nitajie timu ambayo haina Average player why Chelsea ikisaajili Average player iwe sababu ya kufanya vibaya Timu inashinda kwa collectively effect .
Cjasema wote wawe ni world class player hyo hela utaipata WAP... Ila niltaka kusema hakuna hata mmoja aliyeletwa. Lakn tumebeba kombe EPL msimu uliopta. Nw tupo top 4. Ni hatua nzur bado. Kuna msimu tulikuwa wa10 ha ha hah ila conte alitaka wachezaj wake lakn hajaletewa hata mmoja.
 
Tetesi

Chelsea inataka kumsajili Giroud , ikiwa na matumani ya kutaka kumshawishi kuhamia magharibi mwa mji huo. (Mirror)


Wakati huohuo mmiliki wa Chelsea Abrahamovic amekasirishwa na mkufunzi Conte baada ya kocha huyo kujitenga na usajili wa mchezaji mpya msimu huu. (Star)
 
Mkuu, ni kweli hujui current market transfer kwa sasa au nimekusoma vibaya? Kama hana ushawishi kwa nini Willian alikataa kumfuata Mourinho? Kwa nn Hazard na Courtois wanasema they are happy in London na Huku wakihitajika na Zidane?


Eti Kwanini Hazard na Courtois wanasema they are happy in London??

Unataka waseme wako frustrated to live in London??

Unadhani wapo Chelsea kwa sababu ya ushawishi Wa Conte??

Kama hujui! Hao wapo London kwasababu Real Hawajaleta Bid yoyote Chelsea ya Kuwataka...

Real wameonesha interest ya Kuwataka tu lakini Hawajaingia Sokoni kuleta Dhabuni yao Chelsea.


Subiri walete Dhabuni Chelsea halafu Ndiyo useme wameikataa Real...

Sasa sababu ya Real Kutoonesha Kuleta Dhabuni yoyote Chelsea Ni Kwamba anaangalia Vitu viwili Kwa Wakati Mmoja!

1)
Soko lilivyo
2) Mikataba Yao

Real Wanajua Fika Kuwa Kwa Soko lilivyo kwasasa Hazard na Courtois bei zao Zaweza ifilisi Timu...! Lakini wakiangalia Mikataba Yao inaelekea Ukingoni! Kwahiyo Wanasubiri at least Summer Mikataba Yao itakapokaribia Kumalizika Hapo Real atawapata Hazard na Courtois Bure (Pre-contract), au Kwa Bei Ya Chee kabisa ambao Wrote Wawili Hawatofika Hata £80m.
 
Eti Kwanini Hazard na Courtois wanasema they are happy in London??

Unataka waseme wako frustrated to live in London??

Unadhani wapo Chelsea kwa sababu ya ushawishi Wa Conte??

Kama hujui! Hao wapo London kwasababu Real Hawajaleta Bid yoyote Chelsea ya Kuwataka...

Real wameonesha interest ya Kuwataka tu lakini Hawajaingia Sokoni kuleta Dhabuni yao Chelsea.


Subiri walete Dhabuni Chelsea halafu Ndiyo useme wameikataa Real...

Sasa sababu ya Real Kutoonesha Kuleta Dhabuni yoyote Chelsea Ni Kwamba anaangalia Vitu viwili Kwa Wakati Mmoja!

1)
Soko lilivyo
2) Mikataba Yao

Real Wanajua Fika Kuwa Kwa Soko lilivyo kwasasa Hazard na Courtois bei zao Zaweza ifilisi Timu...! Lakini wakiangalia Mikataba Yao inaelekea Ukingoni! Kwahiyo Wanasubiri at least Summer Mikataba Yao itakapokaribia Kumalizika Hapo Real atawapata Hazard na Courtois Bure (Pre-contract), au Kwa Bei Ya Chee kabisa ambao Wrote Wawili Hawatofika Hata £80m.
Kweli ww nyumbu sana unafikir ni liver puliiii hiii
 
Chelsea are understood to be frustrated with Conte over comments about the club's transfer policy.
Redknapp said: "I do [think he'll leave] and it's just typical what happens at Chelsea. A manager does a great job and then for one reason or another, they find a way to undermine him by maybe not bringing in the players that he wants.

"He's unhappy. I can't see a situation where he'll be there next year, I just don't. And he's going to have so many clubs wanting him because last year, what he did with Chelsea - after the start they had, changing the system, it wasn't the level of Leicester's win but it was probably one of the best managerial performances in terms of turning the season around by a system change, that I've seen in an awfully long time.

"If they lose him, sooner or later you are going to run out of great managers to find - you've been through them all, really - and you're going to be going round in circles.

"It's a shame because he's a great manager and they'll certainly miss him."
 
Football agent: Edin Dzeko has 'one foot in London'

an hour ago Tutto Mercato Web Radio (via Express)

Chelsea have been tipped to sign the 31-year-old Roma star in recent weeks.
Former Serie A star and football agent Massimo Briaschi said: "Now he has a foot in London.

"There are still situations to be fixed but I think he will go to Chelsea.

"The proposal is important for Roma and the player."
 
Some encouragement from Antonio Conte

3 hours ago Chelsea FC Official

Ahead of a busy and probably decisive period
Conte: ''It’s normal to have this period if you go through in every competition,’ said the Italian. ‘Don’t forget, we missed only one game in the Carabao Cup, we reached the semi-final, and if you compare it to last season we were out after the second game against West Ham.

''Now we have another game in the FA Cup, then the Premier League and then the Champions League starts again, so for sure it’s a busy period.''

''We must be focused and give everything every day, we have to continue to do this. We have to know we will face great difficulties but if we know this we are ready.''
 
Makocha huwa wanatoa list ya wachezaji wanaowahitaji pia kocha ana influence kubwa kuwashawishi wachezaji na kuishawishi hiyo board inunue wachezaji inaowataka
You need to understand the current situation at Chelsea vinginevyo tutabaki kubishana tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom