Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,044
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Judah? OK but remember the quality of players who won it back to back. Were we having the likes of Drinkwater, Bakayoko, Pedro, Alonso and Moses?
Mkuu ukifatilia tu kidogo kuhusu Chelsea utajua mengi. Mpaka sasa Conte hana maamuzi yoyote katika ununuzi wa wachezaji. Sasa jiulize unajengaje timu bila wachezaji unaowataka? Kumbuka Mourinho kipindi kile anachukua back to back alikuwa na power kubwa kwenye transfer issuesNdiyo Ukaambiwa Alibeba EPL kwa foundation ya Waliomtangulia...
Sasa Kama Na Yeye Ni Funding Kweli Atengeze Foundation Yake...
Na Ndiyo Hivyo Anaanza Kutengeneza Foundation Yake Mwenyewe Yakina Barkley, Drinkwater, Bakayoko na wengine anaowataka kuwanunua kama Crouch na Carroll..
1.Kaja kuiunganisha timu sasa analialia nini?Mkuu ukifatilia tu kidogo kuhusu Chelsea utajua mengi. Mpaka sasa Conte hana maamuzi yoyote katika ununuzi wa wachezaji. Sasa jiulize unajengaje timu bila wachezaji unaowataka? Kumbuka Mourinho kipindi kile anachukua back to back alikuwa na power kubwa kwenye transfer issues
Alafu kingine unachopaswa kufahamu ni kwamba Mourinho kaiacha timu imegawanyika. Hazard alikuwa achezi mpira wa maana, Moses alikuwa sub, Alonso sub, Cahili sub nk. Na hao ndo ambao Conte kawatumia kuleta ubingwa. Huwezi kununua mchanga na mawe ukayapack tu na kujenga msingi kwa vitu vingine alafu mawe yakitumika unaanza kudai Eti wewe ndo ulijenga msingi.
Conte kaja na kuiunganisha timu. Mawe yaliyokataliwa na mjenzi akayakusanya na kuanza kuukarabati msingi uliokuwa na nyufa
1. Kilichomuondoa Mourinho yeye ndo kakiweza.1.Kaja kuiunganisha timu sasa analialia nini?
2.Haya yanayomtokea Conte sio mapya hapo Chelsea yamewatokea makocha wote,Kwa nini Conte hana hayo maamuzi ya kununua wachezaji ?
3.Conte hana nguvu ya kushawishi wachezaji kulinganisha na Mourinho
Swansea haooo.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]£1b ya Project Ya Uwanja Wenu Mpya Mashabiki Mutaijutia!! Haki Ya Nani Mutaletewa Kina Mrisho Ngasa Mpaka Mujute.!
Yani Musitegemee Kwa Abramovic Kwa Kipindi Chote Cha Ujenzi Kuwa atatoa £80 Kununua Mchezaji world Class.
Jose alichukua EPL back to back ni yeye na SAF tu ndio wameweza weka hiyo record.Majority ya Chelsea legend waliletwa na Jose (Drogba,Cole,Carvalho,Makelele,Essien,Cech akina Lampard,JT walikuwa WC baada ya kucheza chini ya Jose1. Kilichomuondoa Mourinho yeye ndo kakiweza.
Kachukua ubingwa na round ya kwanza imeisha tupo nafasi ya tatu kitu ambacho ni nadra CHELSEA.
2. Naamini Lampard alikuwa na ajili timamu aliposema Conte ni kocha ambaye Chelsea haipaswi kumwachia
3. Conte asingekuwa na ushawishi muda huu tungekuwa nafasi ya 10 kama ilivyowahi kutokea
Mkuu, ni kweli hujui current market transfer kwa sasa au nimekusoma vibaya? Kama hana ushawishi kwa nini Willian alikataa kumfuata Mourinho? Kwa nn Hazard na Courtois wanasema they are happy in London na Huku wakihitajika na Zidane?Jose alichukua EPL back to back ni yeye na SAF tu ndio wameweza weka hiyo record.Majority ya Chelsea legend waliletwa na Jose (Drogba,Cole,Carvalho,Makelele,Essien,Cech akina Lampard,JT walikuwa WC baada ya kucheza chini ya Jose
Conte angekuwa na ushawishi asingewakosa wachezaji ambao anawataka na kuishia kuwasajili kina Barkley,Batshuayi,Zapacosta
Sasa ulitaka waseme hawako happy?Mkuu, ni kweli hujui current market transfer kwa sasa au nimekusoma vibaya? Kama hana ushawishi kwa nini Willian alikataa kumfuata Mourinho? Kwa nn Hazard na Courtois wanasema they are happy in London na Huku wakihitajika na Zidane?
Conte hausiki kwenye usajili kama hujui. Yy anatoa mawazo yake tyu. Then board ndo inahangaikaSasa ulitaka waseme hawako happy?
Real Madrid hawajawahi kupeleka bid yeyote kwa Hazard au Courtois.
Angalia players ambao Jose amewasajili ndani ya miaka 4 Cesc,Costa,Willian,Pedro,Mikhi,Ibra,Sanchez angalia timu walizotoka na alivyowaconvice mpaka akawasajili licha ya kuhitajiwa na timu nyingine.Wakina JT,Drogba,Lampard,Essien ndio wanajua ushawishi wa Mourinho.
Conte ana-struggle kuwasajili hata kina Chamberlain
Makocha huwa wanatoa list ya wachezaji wanaowahitaji pia kocha ana influence kubwa kuwashawishi wachezaji na kuishawishi hiyo board inunue wachezaji inaowatakaConte hausiki kwenye usajili kama hujui. Yy anatoa mawazo yake tyu. Then board ndo inahangaika