Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
- Thread starter
- #46,621
Willy kacheza katika kiwango kizuri sana leo ameokoa kama mipira mitatu hivi ambayo ilikuwa hatari. Kazi nzuri
Huyu kazi yake sio hiyo ya udambwi udambwi leo amecheza safi sanaBakayoko bado hajanionesha udambwidambwi wa kunishawishi kumkubali bado.
Barkley atasugua sana benchi kwa bakayokoUmeiona kazi ya Bakayoko leo? Were you satisfied?
Mimi excuse ninayoikubali ni tumpe muda, msimu ujao though nahisi Barkley akiweza kulink vyrma na Kante na majeruhi yakamuepuka hana kazi kubwa kumweka Bakayoko benchi.
Style ya Barkley ya uchezaji tofauti na Bakayoko. Barkley ni backup ya Fabrigas nadhaniBarkley atasugua sana benchi kwa bakayoko
Labda achukue namba ya pedro
...wahenga wanasema, only time will tell.Barkley atasugua sana benchi kwa bakayoko
Labda achukue namba ya pedro
Sahihi, ila tukicheza 3-4-3Style ya Barkley ya uchezaji tofauti na Bakayoko. Barkley ni backup ya Fabrigas nadhani
Mzee hizi obsession vepeeee.. Acha tupambane na usajilia wetu wa akina Carrol na CrouchFantastic achievement for Hazard finally over taking Lingard for goals in the League this season after 24 games,![]()
![]()
![]()
Na ndio hapo unapofeli siku zote kumfananisha bakayoko na maticSahihi, ila tukicheza 3-4-3
Anyway, nisiongee sana, sijaridhika na kiwango cha Bakayoko kwa kuwa nampima na Matic. Ndiyo maana nasema huenda tumpe muda azoee.
Pili, sijamuona Barkley akicheza na wenzake coordination inakuaje.
So, only time will tell...
Hahaa.. Mzee wewe Bakayoko unaona anafanya nini zaidi kila siku mistake kibao.Ni kwa sababu hujui Bakayoko anafanya kazi gani uwanjani. Siku ukielewa utaacha