Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

a944696e4cdaf9386c6c5817b81b4ae9.jpg

Haters will say Bakoyoko is doing nothing on the pitch
 
Ni kwa sababu hujui Bakayoko anafanya kazi gani uwanjani. Siku ukielewa utaacha
Umeiona kazi ya Bakayoko leo? Were you satisfied?

Mimi excuse ninayoikubali ni tumpe muda, msimu ujao though nahisi Barkley akiweza kulink vyrma na Kante na majeruhi yakamuepuka hana kazi kubwa kumweka Bakayoko benchi.
 
It's true kwamba bakayoko isnt yet a complete midfielder. Lkn yuko vizuri sana kwenye defense, he is very good without a ball except that anahitaji kujifunza kumalizia pass za mwisho. Chelsea haipaswi kuwa timu ya kutumia tu vipaji ambavyo makocha wengine washajenga, Bali hata yenyewe inaweza kujenga watu wake. Conte sees some potentials in Bakayoko and that's what he tries to exploit. A guy is eager to emprove and besides he has a good discipline when on trainings and on match
 
Fantastic achievement for Hazard finally over taking Lingard for goals in the League this season after 24 games,
 
Umeiona kazi ya Bakayoko leo? Were you satisfied?

Mimi excuse ninayoikubali ni tumpe muda, msimu ujao though nahisi Barkley akiweza kulink vyrma na Kante na majeruhi yakamuepuka hana kazi kubwa kumweka Bakayoko benchi.
Bakayoko leo amefanya vizuri sana
 
Mnatakiwa kuwa mnamuanzisha Willian.Kocha wenu anakomaa na Morata.Anamuingiza huyu kijana mwishoni.Willian Man U tunamuwinda.He is simply so good
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom