eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
We pembejeo kweli. Yan unaficha tarehe ili iweje sasa. Kibumbu wee tuliaView attachment 678435
Cheki hapo ndo upate jibu..
Nimekudunda nyingi mara nyingi sana ww..... Ww kilaza wa Norwich..
Hahaaa.. Hawezi kujibu kwa sababu anajua ni mlima mrefu.kila nikienda hili swali bado halijibiwi mtag labda kasahau
Wewe shabiki maandazi kweli! Yaani unadhani Conte ndo anasajiri wachezaji!?Ssa conte naye coach hakuna kitu pale bora hata carlo ancelot kuliko huyu acy jua kusajiki anakuwa na visasi kam mwanamke
Huo ndo ukweli. Lakini pia watu wafahamu jukumu la usajili ni la scout na bodi. Waache kumlaumu Conte bila sababu. Ndo maana mm nlisema mwanzoni kuwa Michael Emenalo siyo tatizo, angalia kajiendea Monaco sisi tumebaki kukimbizana na Carol na akina KichuyaNataka niamini conte ni kocha bora sana kwa chelsea
Ukiangalia team inacheza mchezo mzuri na kutengeneza nafasi nyingi pia tatizo ni pale mbele ndio maana anatakiwa atafute striker bora mwingine wa kumpa changamoto morata sio unamtaka carrol
Pole sana kwa yaliyokukuta. Karibu sana The Blues. Timu siyo kabila mkuu. Achana nao hao mashetani hawaendi mbali.II TIMU NATAMANI HAMA
Haha ,mkuu utafukuzwa na wenyewe humu sasaAndy Carrooooooooll
NimepigA screenshot we zwazwa...ilipoenea nimeshot hivyohivyo... Ntalazimishaje kitu impossible..We pembejeo kweli. Yan unaficha tarehe ili iweje sasa. Kibumbu wee tulia
Nshajibu ww..Hahaaa.. Hawezi kujibu kwa sababu anajua ni mlima mrefu.
Waliokuwa wanamtukana Michael Emenalo sijui bado wapo humu? Maana naona sasa kuna shida kubwa hawa akina Andy Carroll, Croach na Dzeko si size ya Chelsea
Naona conte kachemka ktk usajili angalia level za wakina hazard na hawa wanaoletwa wanarud nyuma kwa kasi mnoWaliokuwa wanamtukana Michael Emenalo sijui bado wapo humu? Maana naona sasa kuna shida kubwa hawa akina Andy Carroll, Croach na Dzeko si size ya Chelsea
Naona conte kachemka ktk usajili angalia level za wakina hazard na hawa wanaoletwa wanarud nyuma kwa kasi mno
Mkuu Kuna Kitu Bado Hujakisoma!! Miaka Ya 2004 mpaka 2007 Chelsea Haijawahi Kugombaniana Mchezaji na Timu Yoyote Hile Ya Kiiengereza Wakashindwa!! Recall Case za Kina Obi Mikel, Essien, Ashley Cole n.k.
Lakini alishindwa Na Man U kwa Lukaku....
Kashindwa tena na Man U kwa Sanchez...
Kashindwa na Liverpool kwa Chamberlain....
Kashindwa tena na Liverpool kwa VVD....
Na Kuna Wachezaji tele ambao huu Ni Msimu Wa Pili anawataka Kashindwa Kuwapata....
Sasahivi anasajili Kina Drinkmaji, the so Called Barkley, Bakayoko, Zappacosta, Crauch, Carroll na Magarasa mengi tu..
Sasa Hapo Ni Wazi kuwa tatizo sio Conte! Bali Ni Tajiri Abramovic mwenyewe ameshastop Kutumia Mihela Mengi kwenye Usajili, Bali Anatumia Vihela vya Kusajili kina Drinkwater na Crauch...
Jamaa Basra nyingi alizokula sasa anazikimbia..
Bado Yule Tajiri Wa Mafuta nayeye mwishoni atakaa Sawa.
Pulling power ya Conte kwenye transfer ni ndogo ukilinganisha na kina Mourinho,Ancelotti na pia management inashindwa kutoa fedha kununua wachezaji kocha anaowatakaWaliokuwa wanamtukana Michael Emenalo sijui bado wapo humu? Maana naona sasa kuna shida kubwa hawa akina Andy Carroll, Croach na Dzeko si size ya Chelsea
Pulling power ya Conte kwenye transfer ni ndogo ukilinganisha na kina Mourinho,Ancelotti na pia management inashindwa kutoa fedha kununua wachezaji kocha anaowataka