Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,065
- 27,478
Mkuu wote tulitambiana lazima kila mmoja ashinde. Tena mimi ndio inatakiwa nitambe kwa sababu nilikua ugenini.. Au kwako draw ndio ushindi mkubwa. Tuwekane sawa mkuuHhhhhhhh.....,hadi Jana c ulisema time?????........Ila haina neno ngoj tusubir
Kombe langu na nani.? Umeona convo na huyo nliye mjibu hivo.? Relax brotherCarabao hilo ndio kombe lako
Wacha niungane na conte kuwa kinachoifanya chelsea kuwa hapo ni kukosa bahati tuHapana hiyo mechi isingeisha draw kama asingemtoa Hazard. Nimeangalia dakika 15-20 za mwisho na sikuona sababu ya Kumtoa Hazard kabisa, tactical tena, labda angekuwa majeruhi.
Halafu unamuacha Morata ndani. Hii tabia inavunja wachezaji wengine morali. Sijajua labda kwenye mazoezi anafanya bora zaidi ama ni nini shida yake hasa.
Na Bakayoko wenu. Kwangu mimi hawa wangefaa msimu ujao ila msimu huu tungeendelea na tia maji tia maji yetu ya msimu uliopita halafu hao waingie kutokea benchi mpaka watakapozoea ligi na kuzoeana na wenzao.
Umeona ambavyo Rudiger na Christensen walivyofit vyema?
Tehe tehee teheeeeee eeeeeeeeeee, kwa morata ni kukosa bahati ila Lukaku ni kwa sababu m bovu[emoji1] [emoji1] [emoji1]Wacha niungane na conte kuwa kinachoifanya chelsea kuwa hapo ni kukosa bahati tu
Ni kweli morata angeimaliza match mapema lakini kile kitu kukosa bahati kimetugarimu
Mkuu katika siku niliyokereka ni jana. Bakayoko na morata wamearibu siku yangu jana nikabaki kuota jinsi morata alivyokuwa akikosa magoli ya wazi kabisa. Nimeumia kwa kweli. Sub ya jana kocha kachemka hatari. Hazard hakuonesha dalili yoyote ya kuchoka wala nini. Watu niliyokuwa nikipiga kelele watoke ni morata na bakayoko. But kilichotokea tunaambulia 1 point. Hatari sana. Konte nampenda ila inabidi ajitathmini kwenye upangwaji wake wa kikosi na sub anazotoaHapana hiyo mechi isingeisha draw kama asingemtoa Hazard. Nimeangalia dakika 15-20 za mwisho na sikuona sababu ya Kumtoa Hazard kabisa, tactical tena, labda angekuwa majeruhi.
Halafu unamuacha Morata ndani. Hii tabia inavunja wachezaji wengine morali. Sijajua labda kwenye mazoezi anafanya bora zaidi ama ni nini shida yake hasa.
Na Bakayoko wenu. Kwangu mimi hawa wangefaa msimu ujao ila msimu huu tungeendelea na tia maji tia maji yetu ya msimu uliopita halafu hao waingie kutokea benchi mpaka watakapozoea ligi na kuzoeana na wenzao.
Umeona ambavyo Rudiger na Christensen walivyofit vyema?
mbona tunasikia nawewe leo umealikwa kuwa MC kwenye sherehe ya kitchen part ya shoga mwenzio antbabuu.BREAKING NEWS
Alvaro Morata a.k.a Harmorata achaguliwa kuiwakilisha Hispania kwenye mashindano ya Miss World 2018 nchini China
Hujaelewa ama???*Carabao
Ndio maana kazi ya ukocha ni kazi ya kutumbuliwa tu! Hazard haikutakiwa kabisa atoke, angetoka Bakayoko au MorataMkuu katika siku niliyokereka ni jana. Bakayoko na morata wamearibu siku yangu jana nikabaki kuota jinsi morata alivyokuwa akikosa magoli ya wazi kabisa. Nimeumia kwa kweli. Sub ya jana kocha kachemka hatari. Hazard hakuonesha dalili yoyote ya kuchoka wala nini. Watu niliyokuwa nikipiga kelele watoke ni morata na bakayoko. But kilichotokea tunaambulia 1 point. Hatari sana. Konte nampenda ila inabidi ajitathmini kwenye upangwaji wake wa kikosi na sub anazotoa
Kwa kweli nilitaka kulia. Nilimkumbuka Didier Drogba na Diego Costa! Gemu ya jana tungemuua Aseno kwa ngumi yaani goli 5!Morata sijui apewe nini jamani, yaani magoli matatu kakosa leo aisee! Leo Morata kazingua sana
huyu jamaa nlkuwa namteteaga ila kwa mechi hii nasema huyu sio strekaMorata sijui apewe nini jamani, yaani magoli matatu kakosa leo aisee! Leo Morata kazingua sana
Nakupa 100% naona Conte amemshindwa Babu Wenga kabisa..Pia conte anahangaika sana kumfunga wenger mkuu gem 4 au 5 kama sijakosea kashinda moja tu
Conte kashndwa kummudu Wenga, hilo halna ubishiNadhani katika makocha kadhaa waliopita chelsea, conte ameishindwa kabisa arsenal. Amewafunga mechi 1tu au 2 kama sijakosea. Inakera sana.
Najaribu kuelewa lengo la kumchezesha bakayoko, drinkwater na kante kwa pamoja.
Sure, ila tunahitaji kusajili strekaNext game ajaribu kumtumia Willian kama namba 10 na Hazard kama false 9 tuone itakuwaje. Huyu Morata nilishasema kwa msimu huu awe anatokea benchi tu.
Yani amelainika mpaka refa keshamjua hata akivhezewa foul ya ukweli ye anaona kajidondosha tu!