eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
Tatizo sio conteConte anunue stricker wa maana, la sivyo ataondoka
Sent from my HTC Desire 828 using JamiiForums mobile app
Nilijua zitafika maana walizipata tatu mapema mnoBwashee zile 5 tayari
Ndugu, kocha na manager ni kitu kimoja. Coach ni Amerikan English na Manager ni British English. Kwa kazi na maana na wale waleTatizo sio conte
Tatizo ni wale wanaosimamia huo usajili
Ye akisema anamtaka fulani huenda akapata au asimpate
Kumbuka conte sio manager bali ni cocha tu
Yeye ndo anataka kuondoka.Hapa sikuungi mkono
Hazard tunamuhitaji sana sana
Na ningeitaka chelsea wasiuze hii bidhaa kwa bei yoyote
Hapana si kweli,Head Coach ama kwa kiswahili kocha mkuu wa timu/klabu,yeye anakuwa na mamlaka juu ya kikosi chake tu kwa maana wachezaji alionao tu wakati Team Manager anakuwa na authority kubwa katika klabu kuanzia kikosi chake hadi nje ya kikosi kwa maana katika maswala ya usajili wa wachezaji na pia anakuwa na sauti katika bodi ya timu mfano Sir Alex Ferguson alivyokuwa pale United au Arsene Wenger pale Arsenal.Ndugu, kocha na manager ni kitu kimoja. Coach ni Amerikan English na Manager ni British English. Kwa kazi na maana na wale wale
Anayehusika na sera za transfer pamoja na kutafuta wachezaji chipukizi na kuwaweka kwenye academy nafikiri ni Technical Director (nafasi iko tupu kwa sasa), Anayehusika na outbound and inbound transfers pamoja na negotiation na lobbying ni Multilingual Director, Marina Granovskaia ambaye ni mtu wa karibu sana na owner. Anayeidhinisha wachezaji kuajiriwa ni Owner, Roman Abramovich (ana final say)Ndugu, kocha na manager ni kitu kimoja. Coach ni Amerikan English na Manager ni British English. Kwa kazi na maana na wale wale
Wale wavamizi kutoka mtaa wa pili wako wapi. Angalau sasa wanaomfukuza Man City ni Chelsea wenye pumzi. Mtaa wa pili pumzi imewaishia na 4G imerudi kuwa 1G
Dah nakimiss sana kile kiungo cha watu watatu wa kazi miaka ya 2007-2010,Essien Ballack na Lampard.
Kwa bakayoko nitaendelea kukupinga tu1. Sahihi kabisa Willian kuwa man of the match
2. Morata!
3. Batshuayi apelekwe mkopo au auzwe tutafute alternative striker
4. Bakayoko naye...!
5. Cahill, good job my captain! Harembi na mpira kabisa. Nimependa uvhezaji wake aisee
6. Rudiger...mnampa kocha kazi ngumu sana kuchagua kikosi cha kuanza hapo nyuma! Good job kwa leo ingawa mechi kubwa bado ningependelea Azpilicueta, Christensen, Cahill.
7. Luiz namuonea huruma. Standard iliyowekwa na Christensen na Rudiger ni kubwa akija akaanza kuremba mpira benchi litamhusu sana
8. Ninatamani kuwaona tena Kenedy na Musonda soon.