Kina juma jux wapo wengi...msipoteze nguvu kuwajibu!hilo goli la zola lina uhusiano gani na kocha? na wewe unaujua mpira? chelsea kapoteza mechi ngap toka aje conte? ligi ya uingereza ni ngumu sana ndugu hasa kutetea ubingwa.
Mamluki sijui umetokea wapi wewe
Mimi niliwamiss Drogba na Costa!Nilishasema kucheza bila mshambuliaji ni kutukosesha mabao tu
Match ya leo nimemmiss morata kwa kweli
We kabati nini.? Tusiharibiane mood sikukuu hii. Bao chafu weweUnaongea ka umekunywa haja ndogo ya bashite
Za uso unizingue wewe au????
Wakati Morata akitokea bench nani awe anaanza?Mimi niliwamiss Drogba na Costa!
Morata kwangu awe anatokea benchi mpaka msimu ujao.
Swali zuri sana la kimpira anatakiwa aje na maajibu ya kimpira tena ya kuipenda chelsea cyo kiushabiki ngoja tsubili @ khalifanWakati Morata akitokea bench nani awe anaanza?
Zola alikuwepo Chelsea 2007hilo goli la zola lina uhusiano gani na kocha? na wewe unaujua mpira? chelsea kapoteza mechi ngap toka aje conte? ligi ya uingereza ni ngumu sana ndugu hasa kutetea ubingwa.
Tatizo Chelsea always kuna Head Coach ambae ndio Conte kwa sasa hakuna Team Manager.Tofauti ya Head Coach na Manager ni kwamba Manager anakuwa na authority kubwa zaidi katika timu.Katika suala la usajili Conte anaweza kupendekeza wachezaji anaowataka lakini sio mara zote Club itakubaliana nae sometimes anaweza kumtaka huyu akaletewa yule kwasababu yeye hana authority kubwa katika swala hilo ndio maana wachezaji wengi ambao anawataka huwa hawapati au anachelewa kuwapata.Kuna mama mmoja anaitwa Marina Granovskaia na Michael Emenalo kabla hajaondoka hawa ndo wana deal na biashara zote za timu zinazohusu mikataba kwahiyo ukipendekeza mchezaji wasipompitisha wao hatokuja ng'o.Wakuu Chelsea ya Conte iko vizur sana na hata, ukichek mpra unaufurahia kwa kuposses mipira vyema pamoja na kushambulia bila kuruhusu kufungwa hovyo..
Changamoto moja ambayo Conte anatakiwa kuisolve sasa n kutafuta maforwad wa ukwel ambao kaz yao itakuwa kudumbukiza mipra tu.. Maana ukichek mpra utaona tunasjambulia goli pinzan ila hatuna wamaliziaji
Zola hakuwepo Chelsea 2007,Career ya Zola Chelsea iliisha 2003 aliporudi kwao Italy kuchezea Cagliari.Zola alikuwepo Chelsea 2007
Willian, Hazard, Pedro.Wakati Morata akitokea bench nani awe anaanza?
Mkuu Naona hata siku mnayocheza hauijui ni leo angalia vizuri au sikukuu imekuchanganya nn...??Kesho tuna chance ya kuwa sawa na Man utd kwa point.
Kwa kweli tunatakiwa kuwa tunamfukuzia Man city TU kwa sasa.
Nilikasirika sana mechi iliyopita wachezaji wanacheza kama hawakuangalia league standing. Nilidhani hiyo ingewapa motisha kucheza zaidi na kutafuta ushindi ila walicheza kama vile sisi ndo tulikuwa namba moja kwenye msimamo.
Natumai kuona mabadiliko kesho....
Heri ya krismasi wakuu!
Tunacheza leo mkuu sio kesho halafu sijakuelewa swala la kumfukuzia Man City yani unamaana tufukuzie ubingwa wa EPL? huwezi kuwa serious hata Conte alisha admit game mbili nyuma kuwa we are not in the title race.Hizo nguvu zakumfukuzia City ni bora tuzihifadhi kwa ajili ya mashindano ambayo bado tuna nafasi kubwa UEFA,FA na Carabao Cup.Huku EPL tujitahudi kushika nafasi ya pili tuKesho tuna chance ya kuwa sawa na Man utd kwa point.
Kwa kweli tunatakiwa kuwa tunamfukuzia Man city TU kwa sasa.
Nilikasirika sana mechi iliyopita wachezaji wanacheza kama hawakuangalia league standing. Nilidhani hiyo ingewapa motisha kucheza zaidi na kutafuta ushindi ila walicheza kama vile sisi ndo tulikuwa namba moja kwenye msimamo.
Natumai kuona mabadiliko kesho....
Heri ya krismasi wakuu!
Am not totally against Morata. Ila kwa sasa anahitaji ushindani na kwa kuwa Batshuayi ameshindwa kutoa hiyo changamoto ni vyema tukawatumia hawa washambuliaji wetu watatu vyema na Morata wakati anaendelea kuzoea ligi na kutafuta stamina atokee benchi wakati mabeki wameshachoka.Swali zuri sana la kimpira anatakiwa aje na maajibu ya kimpira tena ya kuipenda chelsea cyo kiushabiki ngoja tsubili @ khalifan
Huku Hawaii sasa ni saa tatu usiku tarehe 25 Desemba, samahanini.Mkuu Naona hata siku mnayocheza hauijui ni leo angalia vizuri au sikukuu imekuchanganya nn...??
Kumfukuzia namaanisha kumaliza namba mbili walau. Kwa kweli pamoja na kwamba sipendi, lakini nakubalia Man city kutoka hapo alipo kutahitaji muujiza. Ila pia kumaliza namba tatu nyuma ya mnyonge Mourinho ni aibuuu...Tunacheza leo mkuu sio kesho halafu sijakuelewa swala la kumfukuzia Man City yani unamaana tufukuzie ubingwa wa EPL? huwezi kuwa serious hata Conte alisha admit game mbili nyuma kuwa we are not in the title race.Hizo nguvu zakumfukuzia City ni bora tuzihifadhi kwa ajili ya mashindano ambayo bado tuna nafasi kubwa UEFA,FA na Carabao Cup.Huku EPL tujitahudi kushika nafasi ya pili tu
Unajua kwamba ukianza hivyo unakosa quality ya no 9? refer game ya City alipotoka Morata akaingia Willian kilichotokea mabeki wa kati wa City wakapata likizo ya muda uwanjani.Hio formation ya kuanza hivyo ina work tunapocheza na timu ambazo ni under dogs lakini huwezi kucheza msimu mzima hivyo it won't work out.Willian, Hazard, Pedro.
Haya bhana nilijua utajitetea tu kumbe mwenzetu upo majimoto[emoji134] [emoji4]Huku Hawaii sasa ni saa tatu usiku tarehe 25 Desemba, samahanini.
Kumfukuzia namaanisha kumaliza namba mbili walau. Kwa kweli pamoja na kwamba sipendi, lakini nakubalia Man city kutoka hapo alipo kutahitaji muujiza. Ila pia kumaliza namba tatu nyuma ya mnyonge Mourinho ni aibuuu...
Shida ilikuwa kwa midfield brother...kaangalie tena replays.Unajua kwamba ukianza hivyo unakosa quality ya no 9? refer game ya City alipotoka Morata akaingia Willian kilichotokea mabeki wa kati wa City wakapata likizo ya muda uwanjani.Hio formation ya kuanza hivyo ina work tunapocheza na timu ambazo ni under dogs lakini huwezi kucheza msimu mzima hivyo it won't work out.