Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Basi kuna mwana kila siku alikua anakosa amani anajiona ye ni bonge la fara, siku nilipomuambia kuhusu chelsea kumuuza matic na kumreplace na bakayoko akapiga magoti chini akamshukuru mungu akasema nilikua najiona fara mwenye digrii kumbe kuna wenye masters kabisa.
 
drinkwater
bakayoko
morata
rudiger
zapacosta
batshuayi
hiki ndio kikosi alichokisajili conte......ivi msimu huu tutakua mabingwa maana msimu uliopita ni kikosi cha Mou ndio kilitupa ubingwa wa epl
 
Simlikuwa naye anayejua kulazimisha?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu kocha conte siyo, anatuyeyusha MNO, angalia wataliano kama Zola, vialli, Roberto di Mateo walichukua ndoo ya ulaya uefa ndogo 1997, goli zuri la supersub ZOLA, angalia kocha Robert di Mateo uefa champions league mwaka 2012
 
Nitandikwe vp mm nishacheza nimepigwa kimoja mku manure siijui mm
Inaonekana unatukubali na unajitahidi sana kurudi ila kwa kuwa ushajitambulisha upande mwingine unajishtukia. Karibu milango iko wazi. Kadi ni za bure hatuuzi
 
Nitandikwe vp mm nishacheza nimepigwa kimoja mku manure siijui mm
Inaonekana unatukubali na unajitahidi sana kurudi ila kwa kuwa ushajitambulisha upande mwingine unajishtukia. Karibu milango iko wazi. Kadi ni za bure hatuuzi
 
Ili utwae uefa ni lazima ucheze na hao unaowaogopa
2012 timu yetu ilikuwa mbovu sana lakini tulizifunga napoli, barcelona na bayern munchen tukatwaa ndooo
Barcelona na baryen za wakati huo zilikuwa zinatisha kuliko hizi za sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeona mkuu
 
Tetesi
Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard, 26, anasema kuwa hana haraka ya kuondoka klabu hiyo, baada ya raia huyo wa Ubelgjji kuhusishwa na kuhama kwenda Real Madrid. (Onze Mondial, via Sun on Sunday)
 
Tetesi
Kipa wa Chelsea Thibaut Courtois amesema hakuna sababu ya yeye kukosa kusaini mkataba mpya na klabu hiyo. Mchezaji wa umri wa miaka 25 anahusishwa na kuhamia Uhispania. (VTM Stadion, via Evening Standard)
 
Tetesi
Chelsea watamruhusu mshambuliaji raia wa Ubelgiji Michy Batshuayi, 24, kuondoka kwa mkopo mwezi Januari. (Sun on Sunday)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…