Nitajieni mchezaji ambae amewahi cheza mechi hata moja bila kufanya kosa lolote,mpira hauchezwi na malaika,hamjui na hamjacheza mpira ndo maana mnaishia kuspot makosa ya MTU mnaemchukia,Bakayoko..kwakweli naona ameenza kuvuruga kwa kasi sana sijui nini kimempata!
Sahihi kabisa ndugu.... Ngoja pakitulia humu tutaleta uchambuzi mzuri kutokana na game ya jana... Ila Conte ni fundiunajua muda mwingine tuache kuwa km mashabiki hewa na kuwa km hatujui mpira... Unaanza kuangalia ubovu wa defence YA liverpool pasi na kuangalia attacking threat Yao na mapungufu YA mabeki wako???? Huo utakuwa na wazimu lazima umpe heshima mpinzani wako Ndo kitu alichofanya Antonio Conte "Master of tactics".
Aliwaweka Drinkwater Kante na Bakayoko kati ili kuua movement za kina Coutinho na Henderson kwa kufanya tight marking ili kupunguza running space YA kina Salah na Chamberlain na kwahlooo alifanikiwa maana dk 45 za mwanzo liver hawakuwa hata na shot on target bado unamlaumu Conte
Angalia Game play YA liver baada YA kutoka Drinkwater na Bakayoko walivyokuwa wanaflow kina Salah kuelekea kwenye lango letu na kufanya kuwa na madhara zaidi YA hapo awali... Unahc angeanza Fab ambaye sote tunajua sio mzur kwenye marking plus una zapacosta na Alonso ambao pia wanamapungufu kwenye marking muongezeee na Kaka Yao Cahill hapo na zile mbio za kina Salah na Coutinho hali ingekuwaje kwa DK 90???
Tuwe na tunasoma nyakati na mchezo Ndo tulalamike sio Kila game unaweza ukashinda Kila hisi tu hasa away games
Willian siku zote ni mchezaji wa akili nyingi. Hata siku asipocheza vizuri mimi naamini tu hakupata matching mate
Pamoja na kucheza dakika tatu..he is the chelsea player of the game
Yani huyu kipa ni pazia sijui kwa nini hatukumjaribu zaidi...
Ile ilkuwa shuti au krosi. Willian anasema it was a shoot. Golkipa wa Liverpool anasema ilikuwa n krosi ila akashtukia imetinga ndani ndio maana hakuangaika kuifuata.Willian siku zote ni mchezaji wa akili nyingi. Hata siku asipocheza vizuri mimi naamini tu hakupata matching mate
Na Conte anasema hakumtuma Willian kufanya hivo [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Ile ilkuwa shuti au krosi. Willian anasema it was a shoot. Golkipa wa Liverpool anasema ilikuwa n krosi ila akashtukia imetinga ndani ndio maana hakuangaika kuifuata.
Shoot or a Cross? Kwenye mitandao goli la Willian limezua mijadala mikali pamoja na Wilkian kukiri kuwa ilikuwa ni shuti
Nitajieni mchezaji ambae amewahi cheza mechi hata moja bila kufanya kosa lolote,mpira hauchezwi na malaika,hamjui na hamjacheza mpira ndo maana mnaishia kuspot makosa ya MTU mnaemchukia,
Nkwela unaweza kukakibiliana vipi na Liverpool ikiwa na Mane, Salah, Ferminho, Georgian Wijnuldum, Coutinho etc wakiwa kwao huku wao wakiwa na siku mbili za maandalizi?Mkuu, juzi kocha alikosea kupanga kikosi. Hiyo ni fact ni vile tu hawezi kusema hivyo hadharani. Kwa suala la Bakayoko si kwamba ni mchezaji mzuri sana tuseme ni juzi tu ndo tumemsema vibaya. Ni mchezaji wa kawaida sana ila wanapopangwa vizuri, hata mchezaji wa kawaida anaweza kuonekana star. Angalia Cahill alivyopotea wakati Kante ni majeruhi. Si kwamba Caill ni mchezaji mbovu sana, ila kuna combination kocha lazima ukubaliane nayo tu kuwa inasaidia kufukia madhaifu ya wengine. Kumsema Bakayoko mechi ya juzi si vibaya lakini zaidi sana ni koca alikosea kupanga kikosi chake vyema.
Ni kweli , unapokutana na timu yenye watu kama wa Liverpool ni lazima utengeneze tight marking , hautakua na chaguo lingine ni kuweka viungo wa kazi tupu , japo unapofanya hivyo hautakua na creative option ya mtu kama fabrigas hivo utakosa open space ambayo hutengenezwa na fabrigas timu inaposhambulia, kuufanya ulinzi uwe mzuri alikua sahihi, lakini bado timu inahitaji kushambulia hapo ndipo kosa linapokuja unapohitaji kuzuia na kushambulia kwa ufasaha, kuna muda mwalimu anakua out of option ila conte is the masterNkwela unaweza kukakibiliana vipi na Liverpool ikiwa na Mane, Salah, Ferminho, Georgian Wijnuldum, Coutinho etc wakiwa kwao huku wao wakiwa na siku mbili za maandalizi?
Bila Shaka lazima utafute approach iliyosahihi. Sema Conte alichochelewa ni kule kuruhusu Wing back zake zipande mbele na ndio maana muda wote Chelsea walikua 5+3+2 .
Walipokuja sasa kuruhusiwa baada ya kufungwa Liverpool walichanganyikiwa.
Lkn kucheza na viungo watatu wa nguvu hapo Kati ilikua best option
Nkwela unaweza kukakibiliana vipi na Liverpool ikiwa na Mane, Salah, Ferminho, Georgian Wijnuldum, Coutinho etc wakiwa kwao huku wao wakiwa na siku mbili za maandalizi?
Bila Shaka lazima utafute approach iliyosahihi. Sema Conte alichochelewa ni kule kuruhusu Wing back zake zipande mbele na ndio maana muda wote Chelsea walikua 5+3+2 .
Walipokuja sasa kuruhusiwa baada ya kufungwa Liverpool walichanganyikiwa.
Lkn kucheza na viungo watatu wa nguvu hapo Kati ilikua best option
Pamoja na kua alikua anazuia bado alikua anashambulia kwa ufasaha kabisa.Ni kweli , unapokutana na timu yenye watu kama wa Liverpool ni lazima utengeneze tight marking , hautakua na chaguo lingine ni kuweka viungo wa kazi tupu , japo unapofanya hivyo hautakua na creative option ya mtu kama fabrigas hivo utakosa open space ambayo hutengenezwa na fabrigas timu inaposhambulia, kuufanya ulinzi uwe mzuri alikua sahihi, lakini bado timu inahitaji kushambulia hapo ndipo kosa linapokuja unapohitaji kuzuia na kushambulia kwa ufasaha, kuna muda mwalimu anakua out of option ila conte is the master
Kumbuka tulipokua ktk Champions League Bakayoko, Drinkwater, Chill, Christensen na Morata hawa wote walipumzishwa kwa ajili ya kukabiliana na Liverpool. Japo wengine walicheza kidogo so yote hii ilikua ni maandalizi ya Liverpool na kocha ilikua lazima achukue hao wachezaji.Mledi haswa ameongea vyema.
Kwa muono wa kocha alitegemea tutakapoweza kuwadhibiti kati, basi Bakayoko ata-deputise nafasi ya creative midfielder role aliyofail.
Mtazamo wangu mwingine ulikuwa, kwa kukubaliana na wewe kuhusu uchovu wa wachezaji, mechi kama hiyo ni afadhali Morata angekaa benchi tuanze na Pedro (ama Willian) kama false nine. Walau unakuwa na creative attacking midfielders wawili mbele na wana speed in case kuna counter attack. Morata hawezi kucheza counter attacking.
Well uko sahihi lkn Mimi nilipenda niongelee swala la Luiz ktk mtazamo mwingine. Mara zote Conte amekua akisisitiza kua kumuweka nje Luiz ni swala la kiufundi ingawa najua hawezi kusema wazi kua Luiz alishuka kiwango. Lkn Conte amekua akiijenga team na kuifanya iwe na nguvu kila sehemu na kila mchezaji anakua yuko vzr.Kila mtu anamapungufu yake , Antonio conte anatunyima kitu kumuweka nje luiz kwa kua , turudi nyuma kidogo kwa nn alimtaka David luiz , lengo kubwa ni kua na mtu anaeongeza kitu kwenye nafasi ya kiungo pia , tunaona uwezo wake wa kuingia kwenye eneo la kiungo kwa ufasaha na jicho la kuanzisha mashambulizi kwa mipira mirefu , ukimtoa azp waliobaki mabeki wengine si wazuri sana katika hilo ndio maana tunapofanya break up kuna nkitu tunakosa katika kuongeza nguvu ya weledi eneo la kiungo na ndio maana akamuweka katikati ili iwe rahisi kwake kuingia katika safu ya kiungo, kwa macho ya kawaida ni ngumu kuliona hilo ila ni mtu muhimu sana kasa kwa mechi za watu wenye pressing ya juu. Timu inamuhitaji luiz kuliko tunavoona kwa macho ya kawaida.
Umenena vyema ndio maana mwalimu alimtaka Sandro au danny rose ili kuweka backup ya mandoza maana kuna time anachoka pia.Well uko sahihi lkn Mimi nilipenda niongelee swala la Luiz ktk mtazamo mwingine. Mara zote Conte amekua akisisitiza kua kumuweka nje Luiz ni swala la kiufundi ingawa najua hawezi kusema wazi kua Luiz alishuka kiwango. Lkn Conte amekua akiijenga team na kuifanya iwe na nguvu kila sehemu na kila mchezaji anakua yuko vzr.
Ktk nafasi ya Luiz tulikua hatuna mbadala madhubuti kabisa ktk hilo eneo na ndio maana Andy alivoonyesha uweza mzuri basi Conte ameshikilia hapo hapo.
Tony Rudiger anaweza kucheza nafasi ya Azplicueta, na ata ya Cahill. Sasa hapo Kati Nani alikua anaweza?? Mpk sasa ktk hizo nafasi tumeshapata ufumbuzi na Conte hana tena mawazo.
Tunapokuja ktk team yenye High pressing, ni City tu ndio walikua na High pressing ambayo ilionekana kutusumbua na mara kadhaa Sterling alifika miguuni mwa Courtois kumtibulia mipira na ukumbuke City ile ndo ilikua high performance yao msimu huu lkn still walionekana kupata taabu.
Majuzi Liverpool walijaribu kufanya pressing ya juu na wakawa wanawasumbua wale beki watatu wa nyuma lkn safari hii ilionekana ni tofauti kidogo mana kila walipofata mipira kwetu kwa nguvu walijikuta wanaambulia patupu hii Chelsea wameifanyia kz mana mashambulizi ya Chelsea huanzia ktk back three line. Sasa kuna kitu kweli tunakosa hasa zile pasi za Luiz ingawa Luiz mwenyew huzipiga pale anapokua na nafasi kitu ambacho Andy anaweza kufanya hivo anapokua na nafasi na ni lazima awe mzuri ktk pasi ukizingatia hiyo nafsi anayocheza inahitaji mtu wa kariba hiyo maana system ndio inataka hivo.
Lkn kwa game ya juzi Andy alikua na Jukumu moja tu kuhakikisha Danny Sturidge haleti madhara yoyote kumbuka Liverpool waliamua kumchezesha Danny makusudi km typical striker na sio false km kina Firminho ili mipira ikifika kwa Danny aweze kui hold huku kina Salah, Ox na Coutinho wanakuja kwa kasi maana kumbuka Liverpool walikua wanakaba wote na kupanda wote kasoro Sturidge tu lkn unaweza kuona ni namna gani Christensen alivyomfunika Danny mpk akapotea na hakua na madhara na mashiti aliyopiga golini kwetu wala sikumbuki idadi yake Lkn niseme tu Andy km hana majukumu mengine anaweza kutoa pasi tu muzuri ingawa David Luiso ni bomba zaidi.
Kwa sasa Chelsea tunaweza kuwatumia wachezaji wote maana wote wako vzr na wameishika vzr mifumo ya Conte yote miwili 3+4+3 na 3+5+2 sema ktk upande wa Wing back ya Alonso tunahitaji back up huko maana sipendezwi na anavyochezeshwa Azpilicueta huko.
Ila kwa sasa binafsi ninachanganyikiwa juu ya hawa wachezaji, Willian, Pedro, Hazard, Morata na Faby.Umenena vyema ndio maana mwalimu alimtaka Sandro au danny rose ili kuweka backup ya mandoza maana kuna time anachoka pia.
Uchambuzi nzuri sana Mkuu.Well uko sahihi lkn Mimi nilipenda niongelee swala la Luiz ktk mtazamo mwingine. Mara zote Conte amekua akisisitiza kua kumuweka nje Luiz ni swala la kiufundi ingawa najua hawezi kusema wazi kua Luiz alishuka kiwango. Lkn Conte amekua akiijenga team na kuifanya iwe na nguvu kila sehemu na kila mchezaji anakua yuko vzr.