Tatizo watu wanafata mikumbo. Huwezi mlaumu Cahill wakati Hana makosaMkuu ni bora hili swala ukalipotezea. Jaribu tu kuwa mwelewa. Msimu uliopita Cahili ndo alikuwa Captain msaidizi na ameisaidia Chelsea kubeba ndoo. Makosa ya Chelsea tuyaangalie in three dimension not form Cahill perspective. John Terry amekuwa Captain ila hatukuchukua vikombe kila msimu. Na pale tuliposhindwa kuchukua vikombe siyo Terry tu ambaye angebeba lawama.
Mie tena habibi????Ohooo!!!
Usije ukaninunia tyuu
Hoja yako inaweza kuwa na substance ila impact yake ni ndogo sana. Maana watu wa Costa ni Luiz, William nafikiri na Fab. Je na Morata na yeye ni sababu ya Costa? Na Bakayoko je? Batshuayi?Mimi nachoamini siasa za Chelsea zilivyo hasa kocha akizinguana na mchezaji wake, Kitendo cha Conte kumtumia txt Diego kimewapa mshtuko wachezaji kwa maana jinsi Chelsea ilivyo ataondoka tu. Watu wanacheza chini ya kiwango ikiwa ni pamoja na kuchomesha, kuna kitu kinaendelea ni suala la muda tu!
Sasa hao Leo watawanyoosha. Msianze tuuMie tena habibi????
Leo wachezaji wangu walioko kwako kwa mkopo wanarudi home.
Mourinho
Matic
Mata
Lukaku
What's the joy to meet them again???
SureTatizo watu wanafata mikumbo. Huwezi mlaumu Cahill wakati Hana makosa
[emoji13] [emoji13] ningekuwa arsenal sijui kama ningekuwa mzima mpaka sasa.Kwahiyo hata kama team yetu inaungwa kizembe na kucheza mpira mbovu tusikosoe tukae kimya kama tumekatwa vichwa sio?????????????????
hivi unajua jinsi sisi die hard fans tunavoumia chelsea ikifungwa na kucheza mpira mbovu kama sunderland???????????
nadhani wewe utakuwa fan wa wenger.
Ni ndevu tu mungu alimzojalia bakayoko zaidi kuliko matic, Vilivyobaki kuhusu soka bakayoko kamcompare na Nzonzi.View attachment 624849
Eneo ambalo Matic anamzidi Bakayoko ni passing tu ila kulinda na kuzuia mashambulizi Bakayoko anamzidi Matic
Umeangalia hizo takwimu au unaongea hisia zako?Ni ndevu tu mungu alimzojalia bakayoko zaidi kuliko matic, Vilivyobaki kuhusu soka bakayoko kamcompare na Nzonzi.
Na leo yupo ndani kama kawaidaSina shida na mchezaji yeyote wa chelsea
Ila cahill ananipa wasiwasi na ukabaji wake wa kurudi nyuma
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Naona sasa chuki imezidi. Kwani alilala au alianguka?
Huyo ndio cahill nafikiri wote mnaijua hii match