Kocha ndiye anayepanga kikosi ila naona upangaji wake anachanganya mambo mtu kama zapacosta hakuwa wa kukaa benchi leo na pia kiungo ya fab na kante ni kuuruhusu timu pinzani ikutawaleDuh umemuona na wewe!?? Dah yani anajog kabisa bila stress.
Ila kwa Bakayoko nailaumu mgt ya timu iliyomuuza Matic.
Sawa profesa majimarefuHizi ni Laana Za Diego Costa Zinawatafuna Ndani Kwa Ndani...
Wakuu makosa ya Conte ni madogo, mm ukiniulza ntakwambia tuna tm mbovu sana na wachezaj wapo butu sana ukilinganisha na majna yao..Kocha ndiye anayepanga kikosi ila naona upangaji wake anachanganya mambo mtu kama zapacosta hakuwa wa kukaa benchi leo na pia kiungo ya fab na kante ni kuuruhusu timu pinzani ikutawale
Aah ni kwel mkuu tunawachezaji wazuri sana wenye rate kubwa ya fifa lakini tunakua kama real madrid, winning sipirit hamna kabsa timu inacheza kama wachezaj wamepooza vilee....,,na kama wasipobadilka tutaendelea umia kila siku kila siku watu wataumia maana wale wachezaji ni kama hawataki hata funga...
morata hyo hela bora wangejengea kiwanda cha maji ya drip
wachezaji 80 wanaonunuliwa kwa bei kubwa huwa hawafanyi la maana chelsea
Ila nyie liverpuuli laaana ya stering makalio wwHizi ni Laana Za Diego Costa Zinawatafuna Ndani Kwa Ndani...
Duh umemuona na wewe!?? Dah yani anajog kabisa bila stress.
Ila kwa Bakayoko nailaumu mgt ya timu iliyomuuza Matic.
Sina wasiwasi na ku-qualify i!a naamini Conte kajifunza jambo.
Kila siku unabadili mabeki kweli? Unajaribisha nini kwa mfano?
Poleni . anamuiga Mou lazima afeli tuMabeki anajaza wengi na bado tunafungwa hata sioni maana yake kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Conte ni kocha mmoja ***** sana hajitambua anafanya nn hili jitu Bakayoko limepa nini akae chin ajichunguze timu itamahinda atasepa eti ngola kante tu ndio timu inakuwa mbovuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bakayoko alichomzidi Matic ni ndevu tuu.....duh samahani wakuu kumbe nimekosea thread
Cause Chelsea, Chelsea is our name...Blue is the colour, football is the game
We're all together, and winning is our aim
So cheer us on through the sun and rain
'Cause Chelsea, Chelsea is our name'
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji30][emoji30]
Fab na kante...?Kocha ndiye anayepanga kikosi ila naona upangaji wake anachanganya mambo mtu kama zapacosta hakuwa wa kukaa benchi leo na pia kiungo ya fab na kante ni kuuruhusu timu pinzani ikutawale
Tuna hitaji mashabiki aina kama yako humu...Wakuu makosa ya Conte ni madogo, mm ukiniulza ntakwambia tuna tm mbovu sana na wachezaj wapo butu sana ukilinganisha na majna yao..
Watu wanacheza kizembe sana timu haina spirit
Nadhan tujipange labda dirisha dogo tununue vifaa otherwise tujpange mwakan upyaaa