Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

kipa mzuri ukimwangalia unamuona, pale hatuna kipa. Mi sibshani saana muda utafika tu utaona kua hatuna kipa!
 
Mkuu cahil ni tatizo anakabia ndani ya box mara nyingi, opponent akitoka mbali Cahil anarudi kwenye box ndio akabe sio kwamba ni mbaya Ila anafanya hivo Mara nyingi snaa
 
Kila mshambuliaji wa timu pinzani anajua anaweza kufika mpaka kwenye penalti box akipita upande wa cahill
Conte kama akifukuzwa basi cahill ndio mhusika wake ye amng'ang'anie tu
 
Kikosi changu cha leo
Rudiger, aspiliqueta,christiensen
Alonso,luiz,bakayoko,zappacosta
Hazard, morata, pedro

Kinyume na hapa tunafungwa tena
Yangu macho
Kama conte hawezi kupanga hiki kikosi watford hawatatuacha salama tena
Rudiger, aspiliqueta, christensen
Alionao, luiz, bakayoko,zappacosta
Hazard, morata,pedro hiki ndio kikosi cha ushindi kila match
Conte hajagundua tu
 
Leo chama langu watford linamvupua mtu hapo hapo kwake baada ya kukoswakoswa na roma leo zamu ya watford namuona Okaka kwa mbali wiki ijayo marudiano na crystal palace yule haonagi hatar kuondoka na point 3 darajani zahaaaaa
 
Chelsea's XI vs Watford:
Courtois
Rüdiger,David Luiz,Cahill
Azpilicueta,Fabregas,Bakayoko,Alonso
Pedro,Morata,Hazard.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…