Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Ila team yako mbovu, mark my word february ikifika ulete mrejesho.
Tatizo la conte huwa hawaamini vijana/madogo.LKN bado tuna madogo wapo timu mbalimbali kwa mkopo tunaweza kuwarudisha tu.
Angalia team ulizokutana nazo tena ukiwa full mkoko, tofauti na sie tukiwa na injuries kibao.Vipi kuhusu ya kwako? Naona uneshikilia ya kwangu mbovu wakati mpaka sasa sijapoteza mechi yoyote na imeruhusu goli 2 tu.
Ya kwako vipi ambayo mpaka sasa imefungwa mechi 3 kati ya 8?
Angalia team ulizokutana nazo tena ukiwa full mkoko, tofauti na sie tukiwa na injuries kibao.
Kushinda game 30 against 38 kwenu ndo mnaita bahatika?????????Msimu uliopita mlibahatisha kubeba kombe msimu mtaisoma namba!!
Visingizio utavitafute wewe unaeanza kwa mbwembwe ila mwisho wa siku unaishia mtaa wa 6.Umeanza kutafuta visingizio sasa [emoji3][emoji3][emoji3]
Nipo naangalia marudio ya uefa pale Moscow, naona legend wenu aliamua kui favor timu yake pendwa.Nipo youtube naangalia marudio ya game [HASHTAG]#chelsea[/HASHTAG] vs man united#
Mwaka 1999 bpl.
Chelsea 5-0 man urinated.
Gus poyet mapema tu kashawaweka.
Ferguson kachanganyikiwa anakimbia kimbia kama ana maruhani.
Saf maruhani yamempanda kichwani.
Kushinda game 30 against 38 kwenu ndo mnaita bahatika?????????
Kuweka record ya winning 30 games in epl ndo bahati sio?????????
Kushinda 13games in epl in a row ndo bahati???????
Visingizio utavitafute wewe unaeanza kwa mbwembwe ila mwisho wa siku unaishia mtaa wa 6.
Ukimaliza hiyo unganisha na ile fainali ya carling "chelsea vs man urinated"Nipo naangalia marudio ya uefa pale Moscow, naona legend wenu aliamua kui favor timu yake pendwa.
Ushachukua mikoba ya "sheikh yahya"???????Next mechi ya Epl uko na Watford lazima akugeuze kama Palace.
Ushachukua mikoba ya "sheikh yahya"???????
Kutabiri visivotabirika.
Kwani kuna jipya??????Huu ni msimu wa 2017/18 sio 2016/17.
Hiyo inajulikana na kila mtu kuwa manU pale juu kashika nafasi za watu.Hapo juu umesema February Man United itakua nafasi ya 6, ulikua unafanya nini kama sio kutabiri?
Acha maneno mengi. Msimu huu mnatoka kapa hakyanan!! Timu mbovu kabisa ile!!Kushinda game 30 against 38 kwenu ndo mnaita bahatika?????????
Kuweka record ya winning 30 games in epl ndo bahati sio?????????
Kushinda 13games in epl in a row ndo bahati???????
Kwani wewe team gani tuanzie hapo kwanza??????Acha maneno mengi. Msimu huu mnatoka kapa hakyanan!! Timu mbovu kabisa ile!!
Imebaki kuwa timu. ya MAKUMBUSHOCha kusikitisha ni kwamba licha ya muda wote huo still hamjafikia hata nusu ya EPL tulizonazo
Cheap blame games...Angalia team ulizokutana nazo tena ukiwa full mkoko, tofauti na sie tukiwa na injuries kibao.