Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

sio kwamba haiwezekani bali timu yetu imekuwa inapata shida sana inapokutana na atletico kumbuka tunamecheza nao mara nne hatujabahatika kuondoka na point 3
Leo uteja umeisha.....though tumekosa Magoli kama 3 ivi.....ya Hazard liligonga post.....aliyopiga kichwa Morata na ya Faby aliyoshindwa kusukuma kwa mguuu tu.....muhimu point 3.
 
simeoni pole sana tulikuzidi mahali angalia hapa viungo bakayoko,kante,hazard,fabrigas
Kante leo kacheza kama attacking akamuacha Bakayoko nyuma. Nadhani hili Atletico hawakulitarajia...limewaharibia mipango yao.

Mechi ya marudiano, Fabregas benchi tunaanza na Pedro...lazima wapagawe...

Watashindwa kututabiri!
 
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]..... Pole sana brother japo tulikupenda sana ila kiburi na madharau ndo yamekupeleka hukoo, ... Hahahaaaa!!!? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

 
Hahaha Diego Costa asije kuwa kama Chamberlain ...maana nmemwona uwanjani .....eti nayeye anasikitika ATL kufungwaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…