Napenda chelsea ikishinda,ila napenda zaidi kuwasikia WACHAMBUZI wakisema kuwa Huddersfield fc watachukua Epl kwa kuwa wameshinda vimechi vya utangulizi
Wakumbuke kuwa ata chelsea ya msimu uliopitaa haikupewa top four ...mechi sita za mwanzo msimu uliopita tulisuasua vibaya mpaka wachambuzi wanaongalia matokeo ya wakati uliopo wakamsakama Conte kufukuzwa mapema ....tuliruhusu magoli mengi mechi za kwanza ila kilichofata waliadithia wajuu waoo...Napenda chelsea ikishinda,ila napenda zaidi kuwasikia WACHAMBUZI wakisema kuwa Huddersfield fc watachukua Epl kwa kuwa wameshinda vimechi vya utangulizi
Duuh amuishiwi ndotoWakumbuke kuwa ata chelsea ya msimu uliopitaa haikupewa top four ...mechi sita za mwanzo msimu uliopita tulisuasua vibaya mpaka wachambuzi wanaongalia matokeo ya wakati uliopo wakamsakama Conte kufukuzwa mapema ....tuliruhusu magoli mengi mechi za kwanza ila kilichofata waliadithia wajuu waoo...
Tumeanza kwa kupoteza ila team iko vizur now kuanzia umoja uwanjan mpaka mazoezii ....na ukiangalia mechi nzuri muhimu ndo tunaanza nazo ....
Keep Chelsea flying forever ....
Mark my replay ... mpaka kufikia xmass tunaongoza ligi
Ila usahahu kuwa straika wao wa hela nyingi Mounie anatupia hatari, hakuna timu ya kuizua HUDDERSFIELD msimu huu, wenyewe wana msemo wao kuwa we are on fireeeeeWakumbuke kuwa ata chelsea ya msimu uliopitaa haikupewa top four ...mechi sita za mwanzo msimu uliopita tulisuasua vibaya mpaka wachambuzi wanaongalia matokeo ya wakati uliopo wakamsakama Conte kufukuzwa mapema ....tuliruhusu magoli mengi mechi za kwanza ila kilichofata waliadithia wajuu waoo...
Tumeanza kwa kupoteza ila team iko vizur now kuanzia umoja uwanjan mpaka mazoezii ....na ukiangalia mechi nzuri muhimu ndo tunaanza nazo ....
Keep Chelsea flying forever ....
Mark my replay ... mpaka kufikia xmass tunaongoza ligi
Hizo ni mbwembwe tuIla usahahu kuwa straika wao wa hela nyingi Mounie anatupia hatari, hakuna timu ya kuizua HUDDERSFIELD msimu huu, wenyewe wana msemo wao kuwa we are on fireeeee
Who is Costa?. Huyo sio mchezani ni mchafusi. Mchezaji gani hana nidhamu. Alitia sumu mpaka Jose akatimuliwa. Conte mtoto wa mjini kamshitukia akamweka pembeni.Hamna namna lzm Costa apigiwe magoti arudi
Morata hawezi kukupa hata CL football
kwani imekutana na wakubwa wa ligi?Ila usahahu kuwa straika wao wa hela nyingi Mounie anatupia hatari, hakuna timu ya kuizua HUDDERSFIELD msimu huu, wenyewe wana msemo wao kuwa we are on fireeeee
Lukaku hata mwaka jana alikuwa vzr ila kwa mechi za epl hakuifunga Chelsea hata goli hata moja!!Ila usahahu kuwa straika wao wa hela nyingi Mounie anatupia hatari, hakuna timu ya kuizua HUDDERSFIELD msimu huu, wenyewe wana msemo wao kuwa we are on fireeeee