Ni kwel mkuu sabab kwa Thorgan Hazard ilishindikana basi tunajaribu na kwa Kylian Hazard kama ataweza kusustain na kukidh vigezo....,,,Kylian hajasajiliwa Chelsea kwa sababu ya uwezo alio nao, kasajiliwa kwa sababu Eden kamuombea kwa kocha na Chelsea tunafight kumkeep Eden.
Eden is a family man, kumleta mdogo wake London means so much to him, we have a delived demand kwa kylian, lengo ni kumkeep Eden
Alafu kylian ni kipaji ila hao wamelelewa chesea toka wakiwa miaka 12... Kylian namfanansha na akina Denim Nnamudi, ila Denim amewahiwa tuu....,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwel mkuu sabab kwa Thorgan Hazard ilishindikana basi tunajaribu na kwa Kylian Hazard kama ataweza kusustain na kukidh vigezo....,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan musonda usimuongelee kabisa sababu hiyo ni mashine....Mchezaji ka Musonda alikua anawaniwa na Real madrid, barca, man U na arsenal when he was only 15, van ginkel tumenunua kwa zaidi ya pound milioni miaka mitatu ivi iliyopita
Na Musonda nae ni attacking midfielder ka Kylian, do u think Kylian will even be as good as him?
Aah ni hatar sana maana uko B.Munchenglanbach anawabeba sanaa...,,,Sure bro, throjan anafanya vizuri now Borrusia Ka umemfuatilia, me nimemuona game ka 6 msimu uliopita 2 zikiwa za Champions league, ni regular 1st 11 ka ilivyokua Christensen last 2 seasons
Angalia you tube ni hatari sana huyu kylian hazardKylian hajasajiliwa Chelsea kwa sababu ya uwezo alio nao, kasajiliwa kwa sababu Eden kamuombea kwa kocha na Chelsea tunafight kumkeep Eden.
Eden is a family man, kumleta mdogo wake London means so much to him, we have a delived demand kwa kylian, lengo ni kumkeep Eden
Ya loftus kafany vizur ila yeye huw mara nying anatumika kama central au back midfielder so hatuwez mcompare na kylian, japo loftus saiv ni majeruhi....Perception zimetofautiana kidogo Mugerick, ukiangalia nature ya deal yenyewe utaona kwamba usajili wa kylian ni strategic tu na Chelsea hajawaweka expectations zozote kwake
Player at 22 kuingizwa kwenye delelopment team ni nadra, wangetaka akue wangemtoa kwa mkopo immediately baada ya kumsajili akapate game time, we normally do that kwa players wa age yake, but yeye wamemuacha makusudi tu.
Mwakani walimtoa loan utaona wamempeleka team za London either Crystal palace, AFC Wimbledon, Brentford, QPR, millwall au timu yoyote ndogo ya London
Mimi naamini usajili wake uko hivyo na hata akipandishwa its for the sake of Eden sio yeye,
Btw umemuona Loftus Cheek kwenye game 3 za kwanza za Crystal palace?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .... Italy baada ya kupigwa vitatu na spain, sasa naona wameamua kumuita na Zappacosta kwenye kikosi chao....,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Si walijifanya hawajamuona etii....,Ee Kashakua mchezaji mkubwa tangu juzi, soon atakua starter kabisa
Ndio maana conte alikuwa anakomalia usajili ufanyike kumbe tuna shughuli!!!!!
Sawa mkuu. Hata mwaka jana ulisema ivo ivo.....lakini cha moto ukakiona. Subiri muda utaongea.Coutihno kasepa kwenda wapi?
Mm nimechukua Champion League ktk modern football!
Chelsea wachezaji wameishtukia kama ni team ya familia sio taasisi
OX kaikataa
Barkley jana kaikataa
Llorient jana kaikataa
Team itakuwa ya 10 mwaka huu
Morata hawezi kukua CL football