Ball possession ingekua ishu tungesajili wakina inesta na xavi timu nzima ......... ile game ilipangwa ichezwe vile, acha kulia lia mtoto w kiume.Ki Mpira Hawajakosea Mkuu Spurs Alitakiwa Kushinda Kila Kitu Walikua Nacho Ila Chalsea Kapata Matokeo Tu Hata Wewe Unajua Nani Kaupiga Mwingi Ukiangalia Ball Possetion
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mtu na team yake ya man u utamjua tuKuwa Mtu Wa Mpira Ukiandika Jina Vibaya La Timu Brand Inashuka? Sionag Mantik Ya Kuandika Eti Chelshit Inasaidia Nini? Haya Mambo Yapo Facebook Wenzio Tunaandika Chelsea Tena Vizur Tu Kiroho Safi Kama Club Cha Mpira Kuwa Broo Mpira Mchezo Wa Furaha
Kwa Kukusaidia Hatukufungwa Tukiwa Na Hizo Possession Ulizoandika Tulifungwa Mech Ya Chelsea,man City,watford,arsenal Na Spurs Fuatilia Tuliongoza Possetion?
Hamna wachambuzi pale
Mfumo huu unapunguza uwezekano wa kufungua nyuma na kuachia kama wenzetu Arsenal. Chelsea walikwenda mbele kwa kushtukiza na kujilinda zaidi huko Alonso na Moses wakifanya kazi kubwa mno kwenye pembe. Kazi kubwa ilikuwa kwa wale striker 2 (Morata akisaidiana na William) dk ya 72 walikuwa hoi sababu ya kukumbia km nyingi.Jana niliona conte akitumia mfumo mpya wa 3-5-2 huyu kocha ni sheeda
Team zitaanza kuiga muda sio mrefu
Nadhan una matokeo ya mechi ss endelea kshangliaNimekuja kushangilia spurs akicheza na chelsea
Ball possession ingekua ishu tungesajili wakina inesta na xavi timu nzima ......... ile game ilipangwa ichezwe vile, acha kulia lia mtoto w kiume.
Acha uongo mkbwa ww dakk kama skosei ya 5 kakosa free header napo hjamwonaMkuu mechi nimeangalia, Hamorata nimemuona dk 10 kabla ya kuwa subbed, sasa ukiniambia alianza sikuelewi maana mfano kipindi chote cha kwanza sijamuona kabisa.
Jana niliona conte akitumia mfumo mpya wa 3-5-2 huyu kocha ni sheeda
Team zitaanza kuiga muda sio mrefu
Ile ilikuwa ni tottenham 0-chelsea 2 kulingana namm, batshuayi angekaa nje tu naona mpnz wetu morata Ana Balance kwenye kikosi now, katikati bakayoko hajaonekana ila ni mechi yake ya Kwanza nevertheless,
Tusahau machungu ya last week
iPhone 6s
Tatizo mnaniboa kwa kuchonga sana mdomoHaya mahaba yako kwa Man United sijui umeyatoa wapi? Kila ukikaa unaiwaza Man United tu.
Tatizo mnaniboa kwa kuchonga sana mdomo
Inamaana makocha wa Epl wameishiwa mbinu mpaka waanze kuiga ya Conte.Jana niliona conte akitumia mfumo mpya wa 3-5-2 huyu kocha ni sheeda
Team zitaanza kuiga muda sio mrefu
Wale wanachanganya ushabiki na kaziHamna wachambuzi pale
Mkuu juzi nilipokuwa nacheki mpira wa arsenal. Mashabiki walikuwa wakisema conte ni mpuzi sana kumuuza Nemanja Matic. Then wakaendelea mbele kwa kusema atafukuzwa kabla ya september. Na kesho (Jana ) chelsea afungwa 3 mapema na Spurs. Mim nikawajibu kistarabu tu kuwa conte hajamuuza Nemanja. Ameuzwa na bodi...!!! Pia nikasema kesho (Jana) chelsea anashinda kidogo nimezwe baadae nikawambia tuangalieni mpira kila mmoja apamabane na hali yake.Mfumo huu unapunguza uwezekano wa kufungua nyuma na kuachia kama wenzetu Arsenal. Chelsea walikwenda mbele kwa kushtukiza na kujilinda zaidi huko Alonso na Moses wakifanya kazi kubwa mno kwenye pembe. Kazi kubwa ilikuwa kwa wale striker 2 (Morata akisaidiana na William) dk ya 72 walikuwa hoi sababu ya kukumbia km nyingi.
Hata hivyo ni mfumo mzuri hasa kama timu haiko sawa (Majeruhi) na still umepoteza games mbili mfululizo - ni lazima utafute mbinu ili ushinde na kurudisha confidence kwa wachezaji. Mfumo huu alijaribiwa Man U - ila haukumbakisha mtu salama.
Conte is the right man for Chelsea for sure.
We ndio unatakiwa ujadili mpira si unalialia kama mtoto wa kike,utapandwa shauri yako! ......... halafu usiwe mgumu kuelewa, nimemaanisha kama mpira ungekua ball possession timu nzima kuanzia kipa tungenunua mapass master, kama fab. We huyo bakayoko ndio aliemkimbiza matic.Wakina Xavi Na Iniesta Unafikir Ni Sawa Na Kumnunua Bakayoko Cha Kusikitisha Na Kushangaza Kwa Umr Ulionao Humjui Mtu Anaelia Lia Soma Upya Halaf Jiangalie Na Ulichoandika Jadili Mpira
We ndio unatakiwa ujadili mpira si unalialia kama mtoto wa kike,utapandwa shauri yako! ......... halafu usiwe mgumu kuelewa, nimemaanisha kama mpira ungekua ball possession timu nzima kuanzia kipa tungenunua mapass master, kama fab. We huyo bakayoko ndio aliemkimbiza matic.
Mnajisifu kupack basYeaaaaaaaah.... This is Chelsea"
Luiz, Azpilicueta, Rudiger, Moses, Alonso, Christensen, Kante, Bakayoko hawa wanadamu laiti kama wangechoka kama Willian na Morata basi nadhani hadithi zingekuwa nyingine. Kuna wakati Tottenham Hotspur walikuwa hawajui chakufanya japo mpira ulikuwa chini ya miguu yao.
Chelsea walikaa kwenye njia zote za mipira ya Tottenham Hotspur, waliamua kuwafanya Spurs wacheze tu mpira mbele ya eneo la hatari la Chelsea bila mafanikio yeyote(hii tunaiita mbinu vitani).... Kuna wakati kila mtu alitamani Spurs acheze kama walivyocheza, ila kuna wakati watu walichukizwa na namna Chelsea walivyocheza na kumaliza mchezo.... Raha ya mpira huu ni swahiba aliyeshangilia ushindi wa Chelsea, huku akiwatusi Chelsea pia kwa kuchana mkeka wake[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] (hii tunaiita chagua moja).
Chelsea walikuwa bora zaidi ya Spurs kimbinu, walifanya pressing kuanzia katikati ya uwanja, wakaziba mianya yote ya mpira na kuwafanya Spurs kupiga back pass nyingi ambazo zilikuwa hazina faida.... Alichokikosa Spurs ni Dembele mwingine ukiachia Yule wa kwanza, kwamaana ukiachia Dembele hakukuwa na mtu mwingine aliyekuwa anatembea na mipira kwa upande wa Spurs, ila viumbe hawaaaa [emoji15] [emoji15] [emoji15] kante na Willian hawa walikimbia na mpira mara nyingi zaidi na walikuwa wanaweza kuwakimbiza walinzi wa Spurs mara nyingi zaidi walipohitajika kukimbia.
Kuanza na watu 6 wenye kaliba ya ukabaji ilikuwa sehemu ya kwanza ya ushindi kwa Conte wetu. Spurs wameondoka na possession zao ila Chelsea wameondoka na alama zao 3. Njia rahisi ya kupigana vita ni mbinu... Master tactician Anthony Conte.
Miguu ya Marcos Alonso imeokoa sura ya Batshuay kwa siku ya jana..... Kidogo tu ingegeuka, na hii ingekuwa zamu ya Morata kumcheka Batshuay