Mkuu Mlikimbia Hapa Tulikuwa Na Eden Kimario Tu Hongeren The Blues Naona London Yote Mmeimeza Arsenal,crystal Palace,west Ham Na Spurs Mwenyewe Wamedundwa.
siwezi kimbia mkuu, nili concentrate kuangalia game.
now ndo nimetia team hapa. mtakimbia wenyewe kama spurz.
Siyo wa mchemzoHahahaha Ila Mi Ki Ukweli Mech Ambayo Sipendi Nikutane Nayo Ni Chelsea Tena Darajan Akiondoka Hazard Ntakuwa Na Aman
Naona mkishinda mnachanganyikiwa Na wewe tukusubiri mwezi wa ngapi..???Nataka niamini ikifika december man u watakuwa wanamtukana mourinho na wachezaji wake
Hii ni nguvu ya soda tu kama msimu uliopita
Mkuu Mlikimbia Hapa Tulikuwa Na Eden Kimario Tu Hongeren The Blues Naona London Yote Mmeimeza Arsenal,crystal Palace,west Ham Na Spurs Mwenyewe Wamedundwa.
Hahahaha Ila Mi Ki Ukweli Mech Ambayo Sipendi Nikutane Nayo Ni Chelsea Tena Darajan Akiondoka Hazard Ntakuwa Na Aman
Naona mkishinda mnachanganyikiwa Na wewe tukusubiri mwezi wa ngapi..???
Kante kawathibiti akina dele ali na eriksen wasifurukute. Congratulation Kante
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka niamini ikifika december man u watakuwa wanamtukana mourinho na wachezaji wake
Hii ni nguvu ya soda tu kama msimu uliopita
Cahili akirudi hapa namba hana kabisa ni mwendo wa benchi tuKikosi chetu leo
Naona mkishinda mnachanganyikiwa Na wewe tukusubiri mwezi wa ngapi..???
Cahili akirudi hapa namba hana kabisa ni mwendo wa benchi tu