mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,697
Hahahaaa nyie si ndo mlikuwa wa kwanza kumsema lukaku saivi mmeanza kujifariji.[emoji3][emoji3][emoji3]Finally Morata has scored and 1 Asist, even If we have lost the Game he have shut-up those who are Saying Negative About him. He is really a great player" u better be careful he is Coming With Full Force.....!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheee.. Naona umerudi
Wewe Morata ni great player toka akiwa Juve. Trust me. Time Will Tellgreat player [emoji15] [emoji15] baada yakuja Chelsea?? au toka akiwa mpigaji story ktk mabench Madrid [emoji14] [emoji14]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata picha zinajionesha,
Ndio maana alikua anawekwa benchi na babu mandzukicWewe Morata ni great player toka akiwa Juve. Trust me. Time Will Tell
Morata is far way better than Batshuayi..Nipo hapa mkuu, umemuona morata??????????
kuna mwenye tatizo na uwezo wa morata huko??????
hizo ni salamu tu kwa haters.
Time will tell brr.. We waache
Thats ur opinion.
Bhwa hahahaaaaa.. Time will tell mzeeNext uko na Totenham, hawa watapiga goli 10.
Siyo Lukaku sema LikukuHahahaaa nyie si ndo mlikuwa wa kwanza kumsema lukaku saivi mmeanza kujifariji.[emoji3][emoji3][emoji3]
Au siyo..!! Na mbn mlikua mnataka.? Baada ya kumkosa ndio mnaanza kuponda. HeheheeeNdio maana alikua anawekwa benchi na babu mandzukic
Umenifanya nicheke,hiv kama hazai hakuna sabab naehii ni sawa na kuwa na mwanamke mzuri halafu hazai
Mtampenda tu msimu huu hadi mtaongea lugha zote[emoji3][emoji3]..!!!!Siyo Lukaku sema Likuku
Heheee.. Mzee hapo hakuna kitu. Huwezi fananisha na MorataMtampenda tu msimu huu hadi mtaongea lugha zote[emoji3][emoji3]..!!!!
Jose ndio alikua anamtaka, sijawahi mpenda huyo bench to bench center forward and thanks god we dodged the bullet.Au siyo..!! Na mbn mlikua mnataka.? Baada ya kumkosa ndio mnaanza kuponda. Heheheee
Mkuu yote kwa yote waliomleta Morata Chelsea hawakukosea namm naunga mkono kwa kumuita gret player. Time will tellJose ndio alikua anamtaka, sijawahi mpenda huyo bench to bench center forward and thanks god we dodge the bullet.
Mkuu acha ushabiki pembeni haiwezekani the second score goals kwenye EPL afu useme hamna kitu utakuwa hujielewiHeheee.. Mzee hapo hakuna kitu. Huwezi fananisha na Morata