Cute b ni noumaaaa!!! Jukwaaa lililala sana ngoja tuanze kampeni zetu mtaa kwa mtaaa kama vile twatafuta unga hahahhahaHii post inabidi niweke alama. Ha ha ha ha ha ha kwa kweli najutia na akina cute b ndo wanakuja na misumari ya moto tu. Anaongea huyo
Asante sana best, sijaona vinywaji ningekunywa aiseeJamani pole nimetoa na vinywaji huu mmekataa!! Ila usijali ...
Onyo: Usijaribu kuja kunicheka kule ishi na mm kwa akili nichukulie kama chombo dhaifu ila chenye kupewa heshima ili maombi yako yasizuiliwe,la sivyo utashindwa mwanzo mwishooooo!! Na daraja utashuka...Hahahhaha hahahhahaha
Wing ni lazima bila kusahau mshambuliajiMkuu game imepotelea sehemu mbili tu. Najua wanatusaidiaga sana ila upande wa Alonso na Fabregas ndio waliopotea. Kante akajikuta anazunguka kila sehemu tu.
Alonso alikuwa anang'ara nadhani kutokana na Hazard anavyomsaidia kuwa rudisha nyuma mabeki, ila bila Hazard anapoteana sana mechi zote toka pre season. Fabregas amekimbizwa sana katikati pale Xhaka na Elneny wamemzungusha sana.
Bila kupata mbadala mzuri wa Alonso na kupata kiungo Mwingine anaeweza kucheza box to box na kuwekeana misuli kweli, maana hatutegemei Bakayoko na Kante kucheza mechi zote basi msimu huu hakuna chetu hata kodogo.
Japokua mm sio mshabiki wa Chelsea...Tusidanganyane bado tunahitaji mshambuliaji
Achana na habari za bakayoko na hazard
Tunahitaji mshambuliaji
Halafu morata abadilishiwe jezi ile ina mkosi ile jezi
Hii post inabidi niweke alama. Ha ha ha ha ha ha kwa kweli najutia na akina cute b ndo wanakuja na misumari ya moto tu. Anaongea huyo
Acha mavurugu basi, mbona hilo kombe la mbuzi kabisa [emoji6][emoji6][emoji6][emoji41][emoji41]
Kwa hali hii acha tuwashe moto tuote tuu.
Ndugu zetu wanaeza athirika ki saikolojia tukiondoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Shem darling acha tu vileee vigoli Fulani mlivyotufunga last season navimind yaani ww nitaweka kambi mwezi mzimaaaaa!!! Hahahagha Klop hana loloteTuko vizuri uwepo wa klop ha ha haaa. Ulijificha wapi?
Bila shaka cute b kakufichua mana nae sijui alikua wapiii
Ungejua habari za namba 9 ni mkosi chelsea
Kweli kabisa.Ha ha haaaa uhalisia utabaki kama ulivyo tuendelee kuvumiliana ili mradi salama pole sana kwa kujinyima kwa muda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tutafunga madirisha na vioo kabisaCute b ni noumaaaa!!! Jukwaaa lililala sana ngoja tuanze kampeni zetu mtaa kwa mtaaa kama vile twatafuta unga hahahhaha
Hahahhahhah kisasi ni cha Mungu!!;! Wewe Cute b basi kamaliza vyoteeee!!!Asante sana best, sijaona vinywaji ningekunywa aisee
Acha kunitisha best, nitakuja vizuri kukucheka. Lazima nilipe hili unalonifanyia leo ha ha ha ha
Mashabiki wa asenal na man u mnacheka mwanzo mwishoni mnaliaHhahahhahahha loooohhhhh!!!! Liamshe dudeeeeeeee nilikumiss sana this msimu ni mwendo wa kuliamsha dudeeee tuuuu!!!! nilikumiss sana mchizi wangu am not kidney hahahahaha!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa yaani, na Fabregas hawezi kusimama na Kate pekee au na Bakayoko pekee.Wing ni lazima bila kusahau mshambuliaji
Hapo kati najua fabi anacheza kisa bakayoko hajapona
Najua utapita kutoponheza mana wewe sio mchoyo Klop kuna kitu kinaonekana yupo vizuri sana ngoja tuoneShem darling acha tu vileee vigoli Fulani mlivyotufunga last season navimind yaani ww nitaweka kambi mwezi mzimaaaaa!!! Hahahagha Klop hana lolote
Halafu Pedro apewe namba ngapi mkuu?Ungejua habari za namba 9 ni mkosi chelsea
Wampe hata namba 11 ya drogba
ahahahahahhaha nimesogeza kabisaaa[emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] hii itafaa zaid
Nasikia hili shuti limeleta mpira hadi kule KIBITI .
Unaliongeleaje hilo...
everlenk sogeza maiki tum interview huyu mfiwa..tujue msiba ulitokeaje tokeaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshambuliaji ni muhimu kwenye kikosi chetu ukiangalia tulitakiwa kumaliza mchezo mapema ndani ya dk 90Ugumu unatoka wapi? Mbona Chelsea umechezwa mzuri? Possession 54 kwa 46, shots nyingi kuliko Arsenal?
Penalties are penalties and will remain to be penalties. Nashangaa mtu anaanza kulaumu eti sijui nini Wala nini! EPL mtu mwenye kikosi zaidi ya Chelsea ni man City Japo atapata shida kuunda Chemistry ya timu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mkuu hiyo ilikuwa ni penalty?Acha mavurugu basi, mbona hilo kombe la mbuzi kabisa [emoji6][emoji6][emoji6][emoji41][emoji41]
Ila kwa umakini mana umekua sasa kuna taalifa sina hakika natamani unambie mwenueweKweli kabisa.
Asante sana.
Khaaaaa nilijinyima sana sijui kwa nini. Sasa hivi ni kurudisha makucha tuu wajue real me.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vikatuni noumaaa!!!
Kwa hali hii acha tuwashe moto tuote tuu.
Ndugu zetu wanaeza athirika ki saikolojia tukiondoka
Sent using Jamii Forums mobile app