Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
- Thread starter
-
- #40,761
Mkuu game imepotelea sehemu mbili tu. Najua wanatusaidiaga sana ila upande wa Alonso na Fabregas ndio waliopotea. Kante akajikuta anazunguka kila sehemu tu.Tusidanganyane bado tunahitaji mshambuliaji
Achana na habari za bakayoko na hazard
Tunahitaji mshambuliaji
Halafu morata abadilishiwe jezi ile ina mkosi ile jezi
Best everlenk njoo chukua mtu wako huku anasumbua kweli yaaniHa ha ha ha ha ha ha hahahahah
He he he he he he he he he
Hihihihihiiiiiiiiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jezi ina uhusiano gani na mpira?Tusidanganyane bado tunahitaji mshambuliaji
Achana na habari za bakayoko na hazard
Tunahitaji mshambuliaji
Halafu morata abadilishiwe jezi ile ina mkosi ile jezi
Hhahahhahahha loooohhhhh!!!! Liamshe dudeeeeeeee nilikumiss sana this msimu ni mwendo wa kuliamsha dudeeee tuuuu!!!! nilikumiss sana mchizi wangu am not kidney hahahahaha!!!!
Hahahha naikumbukaaaa!!!! Wapi Ntuzu msimu huu unaanza like this cute b is backkkkkkkkkk timu yote y singeli is backkkkkkkkkkkkkkkk!!!! Ni fitina tu kwa kwenda mbelee!!!!
Ugumu unatoka wapi? Mbona Chelsea umechezwa mzuri? Possession 54 kwa 46, shots nyingi kuliko Arsenal?Msimu huu utakuwa mgumu kwenu wana blues!
Lazy boy!!!!!!!!!!!! Morata.
Kuliamsha dude na msiba huu? Kweli chimbuko LA Chelsea ni tarimeHhahahhahahha loooohhhhh!!!! Liamshe dudeeeeeeee nilikumiss sana this msimu ni mwendo wa kuliamsha dudeeee tuuuu!!!! nilikumiss sana mchizi wangu am not kidney hahahahaha!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nae Conte atakuwa amekwisha kufukuzwa ...kwenda wapi.... Kumlaki ndondo cup !!!![emoji3]Huu msiba ni mkubwaaaaaaaaa....
Jamani Parapandaaaa....
Parapanda Italia parapanda....
Jamani parapandaaaa
Parapanda italia Italia...
Na yokohama.....
Watakuwa.........
Nina huzuni jamaniiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwendo wa Masera weka mikono juuuu!!!
[emoji445] Bia za Wenger mmekunjwa..
Nauli mmechukua...
Haya anauliza mtatoa hamtoiiii...
Haya cheza singelii, singeli[emoji445]
Sent using Jamii Forums mobile app
Fitina tu fitaniiiii!!!!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahaha hahaha haaa a relux...
Najua inaumaaa, ila vumiliaaa..
Uuuuuuuuwiiiiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
This msimu ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] .Hhahahhahahha loooohhhhh!!!! Liamshe dudeeeeeeee nilikumiss sana this msimu ni mwendo wa kuliamsha dudeeee tuuuu!!!! nilikumiss sana mchizi wangu am not kidney hahahahaha!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaha kijana haelewi kwamba hizi ni Fitina tu fitaniii!!!!Umepanic, mbona huu ni mpira tuu?
Asiyekubali kushindwa siyo mshindani.
Mechi kama hizi [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] wenzenu wana kombe nyie mna nini?
Sioni hata sababu ya kuita watu majina ya ajabu , kama una hasira basi kafunge goli lako [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Haya byee usije ukanimeza bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha amejifichaaa.Hahahha naikumbukaaaa!!!! Wapi Ntuzu msimu huu unaanza like this cute b is backkkkkkkkkk timu yote y singeli is backkkkkkkkkkkkkkkk!!!! Ni fitina tu kwa kwenda mbelee!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaas shem darling jamaniiiiHahahhaha kijana haelewi kwamba hizi ni Fitina tu fitaniii!!!!
Naye morata...Nae Conte atakuwa amekwisha kufukuzwa ...kwenda wapi.... Kumlaki ndondo cup !!!![emoji3]
Ha ha haaaa hujaacha tuHa ha ha ha ha ha ha hahahahah
He he he he he he he he he
Hihihihihiiiiiiiiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajajua kwamba hizi ni rasha rasha kuna mvua kubwa inakuja..Hahahhaha kijana haelewi kwamba hizi ni Fitina tu fitaniii!!!!
Hhahhahaha utaelewa tu humu huwa tunaendajeeee!!!!Kuliamsha dude na msiba huu? Kweli chimbuko LA Chelsea ni tarime
young kilimanjaro
Ha ha ha tayari amekuja kunichukuaBest everlenk njoo chukua mtu wako huku anasumbua kweli yaani